barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Hapa ni polisi wa Uganda wakikagua watoto wa kike au Wanawake nje ya Uwanja kuhakikisha kuwa hawaingii ndani na vitu au vifaa vinavyoweza kuhatarisha amani au kusababisha milipuko.Hii ndio Uganda,Polisi wa kiume "wanafaidi" kushikashika mapaja na sehemu nyeti za kina dada