Jionee ruti mpya kwenda kariakoo

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,222
Hii ni ruti mpya ya kutoka Tegeta Escrow kwenda kariakoo.....je wewe ungepanda ?
Je, ungelipa nauli? Je , nani dereva na konda wa dala dala hili?
CC: mshana , Mzizi mkavu et al.
 
Attachments

  • tegeta.jpg
    tegeta.jpg
    32.1 KB · Views: 673
Last edited by a moderator:
Mimi sipandi maana hapo dereva ni Rugemarila,konda ni Tibaijuka sasa ukiona hivyo hilo gari mataa ya mwenge lazima ligonge.
 
Mataa ya Mwenge yuko Kafulila, Biafra yuko Zitto, mataa ya Magomeni yuko Filikunjombe

UKAWA wako njia nzima wanalalamika tu

mkuu wa ma traffic police Mbowe inasemekana alimegewa lumbesa Ukonga Mombasa wakati dereva akiwa Werema ruti ya Gongolamboto

KAZI KWELI KWELI
 
Duu...mpaka wakafike mwisho wa safari yao , sijui watakuwa wamepigwa bao ngapi na trafiki.
 
Back
Top Bottom