Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,407
- 8,897
Huyu mzungu ametokea wapi na kuja kuongoza Bunge letu tukufu, mbona sijawahi kumuona wala kumsikia ama ni Photoshop?
View attachment 205807
View attachment 205807
mkuu hebu muweke sawa....mpe elimu aachane na kauli za kibaguzi huyoWe kaburu mbaguzi mkubwa wa rangi koma kabisa maruhuni wewe.
Mzungu nakuaminia ongoza bunge.Mtoto wa Ilala huyo.MBUNGE WA MAISHA WA ILALA.
inasikitisha sana mtu kuwa mbaguzi....bunge hata aendeshe mhindi mzungu mchina as long ni mtz ni sawa, naona mleta mada hamfahamu mh zungu vizuriHivi kumbe hata hata humu ndani kuna "Mabaguzi" Tuombe ladhi sana wananchi wa Ilala kabla atujakuombea Ban uwe mfano kwa wengine wenye mlengo kama huo.
Kuna uhusiano gani kati ya Ilala na huyo mzungu, mbona unanizungua?
Maruhuni mwenye barghashia na miwani kwenye picha.We kaburu mbaguzi mkubwa wa rangi koma kabisa maruhuni wewe.
Mzungu nakuaminia ongoza bunge.Mtoto wa Ilala huyo.MBUNGE WA MAISHA WA ILALA.
Kuna uhusiano gani kati ya Ilala na huyo mzungu, mbona unanizungua?
Hilo ni toto la Kariakoo, humwambii kitu huyo;
Halafu Zungu lina personality na linaendesha bunge kijeshi kijeshi, "sasa nawaambeni nyamazeni na kama hamkunyamaza nawatoa wote nje mkaongelee escrow kwenye canteen na magari yenu". Wote kimya.
Nna uhakika siku moja itamtoka "msilete u---ge humu". Ngojeni mtaja nambia, hilo ni nunda tena nunda kweli kweli.
Huwezi kuzungumzia Ilala bila kuongelea huyo Zungu.Jimbo hilo hakuna chama cha upinzani chaweza mtoa huyo ubunge.
Hicho ni kisiki cha mpingo cha ILALA.Ukimtukana huyo shukuru huko ILALA ungekuwa Ilala ukamtukana ungepigwa nondo chap chap na mpita njia yeyote.Anaheshimika mno ILALA huyo.