Jionee mwnywe Zungu anaongoza Bunge Letu, Kwa nini?

Hivi kumbe hata hata humu ndani kuna "Mabaguzi" Tuombe ladhi sana wananchi wa Ilala kabla atujakuombea Ban uwe mfano kwa wengine wenye mlengo kama huo.
 
Hivi kumbe hata hata humu ndani kuna "Mabaguzi" Tuombe ladhi sana wananchi wa Ilala kabla atujakuombea Ban uwe mfano kwa wengine wenye mlengo kama huo.

Kuna uhusiano gani kati ya Ilala na huyo mzungu, mbona unanizungua?
 
Hivi kumbe hata hata humu ndani kuna "Mabaguzi" Tuombe ladhi sana wananchi wa Ilala kabla atujakuombea Ban uwe mfano kwa wengine wenye mlengo kama huo.
inasikitisha sana mtu kuwa mbaguzi....bunge hata aendeshe mhindi mzungu mchina as long ni mtz ni sawa, naona mleta mada hamfahamu mh zungu vizuri
bado mleta mada anatakiwa kubadilika sana na kujifunza mengi
 
Hilo ni toto la Kariakoo, humwambii kitu huyo;

Halafu Zungu lina personality na linaendesha bunge kijeshi-jeshi, "sasa nawaambeni nyamazeni na kama hamkunyamaza nawatoa wote nje mkaongelee escrow kwenye canteen na magari yenu". Wote kimya.

Nna uhakika siku moja itamtoka "msilete u---ge humu". Ngojeni mtaja nambia, hilo ni nunda tena nunda kweli kweli.
 
Mtanzania mpaka uwe na rangi kama ya werema au pinda au madam spika, mibaguzi imejaa humu
 
Wewe kama unafikiri rangi ni dlili shauri yako. Sisi ni watanzania. Rangi zetu zisitugawe.
 
Kuna uhusiano gani kati ya Ilala na huyo mzungu, mbona unanizungua?

Huwezi kuzungumzia Ilala bila kuongelea huyo Zungu.Jimbo hilo hakuna chama cha upinzani chaweza mtoa huyo ubunge.
Hicho ni kisiki cha mpingo cha ILALA.Ukimtukana huyo shukuru huko ILALA ungekuwa Ilala ukamtukana ungepigwa nondo chap chap na mpita njia yeyote.Anaheshimika mno ILALA huyo.
 
Kwani raia wa Tanzania mpaka awe na ngozi nyeusi, embu toa ubaguzi wako hapa
 
Hilo ni toto la Kariakoo, humwambii kitu huyo;

Halafu Zungu lina personality na linaendesha bunge kijeshi kijeshi, "sasa nawaambeni nyamazeni na kama hamkunyamaza nawatoa wote nje mkaongelee escrow kwenye canteen na magari yenu". Wote kimya.

Nna uhakika siku moja itamtoka "msilete u---ge humu". Ngojeni mtaja nambia, hilo ni nunda tena nunda kweli kweli.

hahaha wakaongelee escrow jf
 
Huwezi kuzungumzia Ilala bila kuongelea huyo Zungu.Jimbo hilo hakuna chama cha upinzani chaweza mtoa huyo ubunge.
Hicho ni kisiki cha mpingo cha ILALA.Ukimtukana huyo shukuru huko ILALA ungekuwa Ilala ukamtukana ungepigwa nondo chap chap na mpita njia yeyote.Anaheshimika mno ILALA huyo.

Alaa Kumbe huyu ndiyo Zungu Mbunge wa Ilala, basi samahani nilimchangaya na Mzungu kama De klerk, nilikuwa sijawahi kumuona kwenye picha huwa namsikia tu... Duh kumbe ndiyo yukio hivyo!
 
Ila mjaluo kuongoza wazungu powa?

Obama_and_Biden_await_updates_on_bin_Laden.jpg
 
Back
Top Bottom