Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
- #241
Karibuni wadau tuyapambe Makazi yenu.
Ndg swali lako linajibika hivi. Kwenye picha hapa chini utaona ina mng'ao, hii materials inatoka Venice Italy, inatokana na miamba ya mawe iliyosagwa na kuvundikwa. Inaandaliwa kama vile Wine.Maelezo yako hayajakamilika ndugu,tunaomba ututajie na gharama; mnachaji shillingi ngapi kwa square meter 1
Ndg kama nilivyo sema kuwa hizo ni sehemu ya kazi zetu, hizopicha siyo za ku download, utaona ziko kwenye mazigira halisi ya mtanzania. Hapo kwenye picha utaona majukwaa ya kawaida tunayotumia. Ikiwa unamjengo kijijini tuite tutakuja.Tuoneshe picha halisi ya nyumba ya mtanzania wa kawaida hizo wengine tunaona tu kwenye tamthilia tupa picha ya nyumba za kijijini ilivyoboreshwa na bidhaa zenu,
Ndg kuhusu hilo jengo nitakuonesha picha kabla wakati nalipokea jengo hilo, na picha baada wakati nalikabidhi.Tuoneshe picha halisi ya nyumba ya mtanzania wa kawaida hizo wengine tunaona tu kwenye tamthilia tupa picha ya nyumba za kijijini ilivyoboreshwa na bidhaa zenu,
Karibu Ndg.