Jinsia ya miwani

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,410
9,182
Kwenye pita pita mtaani nimeshuhudia mwanamke mmoja amevaa sunglasses ambazo NILIHISI za wanaume. Je miwani zinao jinsia kama ilivo mavazi?
 
Sasa ndugu,wewe ndiye uliyehisi. Kwanini usiweke vigezo vilivyokufanya uhisi ni miwani ya kiume?
 
Kwani nguo zina jinsia au nimazoeya ya watu tu? Naamin niutaratibu watu walijiwekee hiv avae nan na vile avae nani.kwa uelewa wangu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwenye pita pita mtaani nimeshuhudia mwanamke mmoja amevaa sunglasses ambazo NILIHISI za wanaume. Je miwani zinao jinsia kama ilivo mavazi?

m5sVfGp3EbEk4QElKyBdY0w.jpg
30X-HK-Free-Shipping-Hot-Unisex-Retro-Vintage-Womens-Mens-Mirrored-font-b-Aviator-b-font.jpg

hugo-boss-eyewear-lars-burmeister2.jpg

T15XcNXe0eXXXXXXXX_%21%210-item_pic.jpg
 
Sasa ndugu,wewe ndiye uliyehisi. Kwanini usiweke vigezo vilivyokufanya uhisi ni miwani ya kiume?

Viegezo kamili sina ndio maana ya kuandika nilihisi. Haraka nimelirusha JF lijadiliwe kwa kina na mapana. Kwa michango yenu hapo juu pamoja na ushahidi wa picha nime conclude miwani hazina gender, in otherwords anything goes.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom