Jinsi Yanga ilivyodhulumiwa nusu fainali ya CAF Champions League

Robo fainali
Yanga walikutana na Asante Kotoko na wakatoka sare 1-1 mechi zote mbili hatimaye ikaamuliwa irushwe shilingi ili iamue nani aende nusu fainali.

Makapteni wote wawili wakishuhudia shilingi ikarushwa hata hivyo kapteni wa Asante kotoko alifanya udanganyifu kwani kabla shilingi haijatua alijifanya kushangilia na kumfanya kapteni wa Yanga Abdulrahaman kuamini kuwa shilingi imeangukia upande wake.

Ndipo Yanga ikadhulumiwa nafasi ya kuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali, rekodi iliyokuja kuwekwa na watani zao Simba mwaka 1974.

kitwana Manara akaingia kwenye orordha ya wafungaji bora akiwa mfungaji bora namba tisa mwenye magoli mawili.
Kapteni aliyekuwepo palepale alidhani imeangukia upande wake..., refa pia alidhani hivyo ila watu ambao hawakuwepo pale wala yule ambaye hakuangalia ndio baadae alidhani iliangukia kwake sababu mwenzake alishangilia ?
 
... kapteni wa Asante kotoko alifanya udanganyifu kwani kabla shilingi haijatua alijifanya kushangilia na kumfanya kapteni wa Yanga Abdulrahaman kuamini kuwa shilingi imeangukia upande wake.

Ndipo Yanga ikadhulumiwa nafasi ya kuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali, rekodi iliyokuja kuwekwa na watani zao Simba mwaka 1974.
Kapteni wa Kotoko alianza kushangilia. Kapteni wa Yanga akaamini. Refa akatoa ushindi kwa Kotoko. Sasa kama alianza kushangilia kabla shilingi haijaanguka, Je, ilipoanguka ni nani sasa aliona kwamba imetoa ushindi kwa Yanga? Haiwezekani kuwa ilipomalizika kuanguka bado ikatoa ushindi kwa Kotoko?
 
Kapteni wa Kotoko alianza kushangilia. Kapteni wa Yanga akaamini. Refa akatoa ushindi kwa Kotoko. Sasa kama alianza kushangilia kabla shilingi haijaanguka, Je, ilipoanguka ni nani sasa aliona kwamba imetoa ushindi kwa Yanga? Haiwezekani kuwa ilipomalizika kuanguka bado ikatoa ushindi kwa Kotkutoisubiri oko?
kutoisubiri shilingi ifike chini ni dhulma
 
Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969.

Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano
Hatua ya awali.

Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar Yanga walishinda 4-0 na marudiano yanga wakafungwa 2-0 kuendelea
Raundi ya kwanza.

Yanga walikutana na Saint George ya Ethiopia wakatoka 0-0 mechi ya kwanza na mechi ya pili wakaipiga bila huruma saint george 5-0 na kuingia robo fainali moja kwa moja.

Hapa Yanga ikawa timu ya kwanza nchini Tanzania kuingia Robo fainali

Robo fainali
Yanga walikutana na Asante Kotoko na wakatoka sare 1-1 mechi zote mbili hatimaye ikaamuliwa irushwe shilingi ili iamue nani aende nusu fainali.

Makapteni wote wawili wakishuhudia shilingi ikarushwa hata hivyo kapteni wa Asante kotoko alifanya udanganyifu kwani kabla shilingi haijatua alijifanya kushangilia na kumfanya kapteni wa Yanga Abdulrahaman kuamini kuwa shilingi imeangukia upande wake.

Ndipo Yanga ikadhulumiwa nafasi ya kuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali, rekodi iliyokuja kuwekwa na watani zao Simba mwaka 1974.

kitwana Manara akaingia kwenye orordha ya wafungaji bora akiwa mfungaji bora namba tisa mwenye magoli mawili.

iView attachment 1798252View attachment 1798253View attachment 1798254View attachment 1798255
Kumbe ukilaza mlianza zamani
 
Kumbe marefa wa nyakati hizo walikuwa mazuzu .

Tu assume yanga alishinda matokeo ya urushaji wa sarafu na kufika nusu fainali .
 
Kanuni ya shilingi haifai
 
Attachments

  • FB_IMG_17089618746562490.jpg
    FB_IMG_17089618746562490.jpg
    391.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom