Jinsi yaku Deposit Money in your Bank while using in Forex investment

nawezaje kuweka pesa kwenye bank account ya Tz nikiwa overseas
  • Ni salama na haraka zaidi iwapo uta_link bank account yako ya TZ na SKRILL
  • Kila fedha unayotoa kwa broker utaiingiza skrill,
  • Then Unahamisha toka skrill kuja TZ bank account yako.
Angalizo
  • Hakikisha account yako ya skrill iko verified kabla hujaanza kuitumia,
  • Hakikisha kwa Tanzania unatumia hizi 'benki za kuja' ni bora zaidi, hazina usumbufu.
  • Hakikisha benki husika inakupa access upande wa internet banking ili uweze kufanya miamala kiurahisi zaidi ukiwa nje ya nchi.
 
Je kwa mfano niko South Africa nataka niweke Rand kwenye bank account yangu ili niweze ku trading je nawezaje kuweka pesa in acc
 
Je kwa mfano niko South Africa nataka niweke Rand kwenye bank account yangu ili niweze ku trading je
  • Bank account yako ya Tanzania, sio trading account, hivyo kama lengo ni trading, ki_logic hauko sahihi kwa hii kauli.
  • Trading account utakuwanayo kwa broker husika.
  • Utatoa fedha toka Bank account kwenda SKRILL, kisha utaitoa skrill na kuipeleka kwa broker.
  • Katika kutoa itakua toka kwa broker then skrill ndipo unahamishia kwenye Bank Account yako.

Kwa post yako ya kwanza na hii ya pili inaonyesha wazi bado mengi inatakiwa ujifunze.

Kila lakheri ndugu
 
Swali jinsi gani naweza weka pesa nikiwa nje ya inchi kwenye bank account then skill ,broker
 
Issue siyo ku transfer money kutoka bank kwenda skrill ni jinsi nawezaje kuweka pesa kwenye bank acc kwa lengo la ku transfer money kwenda skrill then broker.
 
Nadhani uliza swali lako kwa kingereza, inaonekana kiswahili chako sio kizuri, inatuwia vigumu kukuelewa. "Means of depositing money to account" si ni via Bank/Agent au Mobile transfers. Account ikishakuwa na pesa ndio e-wallet kama Skrill inafuatia au ukipenda Card deposit to broker au Wire Transfer nayo ni sawa tu. Ila ushauri wa Skrill ni ushauri mzuri zaidi kwa mtazamo wangu. Me huwa nafurahi traders nkiona wanaongezeka. Hongera kwako na kila la kheri.
 
Let say niko na CRDB niko South africa nataka niweke pesa kwenye bank acc ili niweze deposit kwa broker
Mtumje hio pesa mtu wa hapa Tanzania, ndugu jamaa au rafiki, kisha akuwekee kwenye account yako. Kisha uta confirm kama umepokea ikiwa una huduma ya Internet Banking.

Ushauri mwingine why usitumie Banks zilizopo South Africa kama FnB, ECOBANK, ABSA hao wote nliowataja wanayo matawi na hapa Tanzania. Fungus account mpya, weka pesa, pata card na ukirudi bongo maisha yanaendelea. Local Banks kama CRDB, Equity na wengineo ukiwa Diaspora huwa haziishi mazonge, wanasumbua sana. Ukipata shida itakuwia vigumu kufuatilia shida yako (mfano Funds have been frozen, hio yaweza tokea). Ushauri wangu ni huo
 
Ok let say currently am in abroad I just want to put Money in my acc cause my acc is insufficient am having cash but my aim is to trading that money and here is no my bank branches or agents so how I wil put funds in my acc
 
Huyu jamaa ndo amenielewa sahihi sasa ndugu FNB or Absa naweza deposit nikiwa hapa SA kwenye ATM zao
 
Absa Tz na SA Je zina operate together
Kwa mfano mie Nina account ya ECOBANK Kenya na nipo Tanzania. Ukienda tawini unawaambia tu my account imetokea Kenya (kwa wewe utasema ni RSA ukiwa ABSA). Sema hakikisha unafungua account ya International currency na sio local currency. Hii itapunguza usumbufu hasa utakapoondoka RSA na kwenda nchi nyingine. Maana yangu ni kama hivi, fungua account ya USD let's say FNB ili hata ukiwa Tanzania uta deposit Dollars na maisha yanasonga, ukiwa kwa ATM unatoa local currency ya nchi husika bila shida. Kama utafikia kufungua account nakushauri ni bora utumie Bank yenye less charges na pia hakikisha unapata Internet Banking, itakupunguzia sana hustle ya kwenda tawini. FNB ni $17 kwa mwezi, ABSA sijui ila ECOBANK tunalipa $1 as monthly maintenance fee.
 
Ok let say currently am in abroad I just want to put Money in my acc cause my acc is insufficient am having cash but my aim is to trading that money and here is no my bank branches or agents so how I wil put funds in my acc
Haya sasa uliyetaka kimalkia hiki hapa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom