Jinsi ya kuzuia nywele zisiote haraka

Nmekuwa nikikwazika na kasi ya uotaji wa nywele kichwani kwangu. Binafsi napenda sana kupiga kipara.naondoa nywele sote kabisa.

Shida ni kuwa baada ya siku tatu nakuta tayar zimeshaanza kuota tena kwa wing tu.nmenyoa jumapili lakin leo n nmejiangalia kichwan utadhan week mbili zimepita.

Je kuna namna ya kuchelewesha nywele kuota?
Nlasiikia ukipaka mavi ya mbweha yanasaidi kudumisha kipara kwa miezi saba
 
Nmekuwa nikikwazika na kasi ya uotaji wa nywele kichwani kwangu. Binafsi napenda sana kupiga kipara.naondoa nywele sote kabisa.

Shida ni kuwa baada ya siku tatu nakuta tayar zimeshaanza kuota tena kwa wing tu.nmenyoa jumapili lakin leo n nmejiangalia kichwan utadhan week mbili zimepita.

Je kuna namna ya kuchelewesha nywele kuota?
Ni kupigwa pala tu
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom