Naomba kujuzwa jinsi ya kuzuia mimba baada ya tendo la ndoa

nenda pharmacy utapewa kuna vidonge vya kuzuia mimba....au kabla hujamaliza unatoa nje:biggrin1: japokua hii wanaume wengi inawashindwaga

I have been always using this technique previously, ni zaidi ya mwaka na sijampa mimba,so kuhuss suala la mimba ananiamini sana hana wasiwasi na mm ananiachia yote mana anajua kwenye hilo niko makini,nampenda sana
 
sasa mtu kaomba msaada mwenye kaujuzi atoe.! kama huna acha wenye nacho waseme! maisha ya sasa ni magumu sana kupanga uzazi ni muhim.!

Mimi nakushauri kuna vitabu vinauzwa vinahusu uzazi.! vinaeleza wakati gani ni salama ambao utafanya tendo bila condom, ukikipata kitabuhi onana na dagitari mtaalam wa uzazi. nakutakia siku njema!
 
Wabongo vilaza mkuu eti ata konyagi ni dawa
Ah tafakuru umenichekesha sana,mi nnavojua zentel ni dawa ya minyoo labda iyo unayoongelea sjapata kuijua matumizi yake,ila kilichonchekesha ni dawa ya minyoo na kuzuia mimba mh.

Kuhusu kukushauri ni jinsi gani ya kuzuia kwa kweli niungane na michango iliyotolewa nikiwa na msimamo wa kwamba hapo mnazini tu,pengine mwende mkahalalishe tu make pamoja,ili mpunguze mashaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mambo vipi waungwana mimi ninampenzi nilikutana naye kimapenzi bati mbaya huyo mwanaume alinigomea kutumia condomotulianza kubishana naye huyo mwanaume akaniambia basi kunamafuta ya kuzuia mchumbuo hayo mafuta mimi siyafahamu kama ni mafuta gani kama yanazuru mimi sijui kama yana madhara gani mi sijui jamani naombeni masaada kwenu
aneye yafahamu hayo mafuta ya kupaka sehemu za siri aniambiye iliniweze kuepukana nayo.:yawn:
Bila shaka ni K.Y ila jaribu
Baby Johsons hayachubui wala hayana chemicals kali.
 
Kuna mdau arikuwa anashauri watu watumie majivu au maji baridi sana ila hapo sio 100% lolote laweza tokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom