Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Nadhani wale wenzangu na mimi mnaotumia Paypal mlishawahi kukumbana na tatizo la paypal kushikilia pesa yako kwa miezi 6 na kisha baada ya hapo kukwambia uitoe ila option iliyopo ni kupitia akaunti ya bank ya US.
Sasa leo nawapa njia ya kuwithdraw hiyo pesa. Unatakiwa kuwa na US dollar account. Hii unaweza kuipata kupitia Wise au Payoneer.
Kwa Payoneer, ukifingua watakupa akaunti ya First Century Bank, Hii haifai na Paypal wataikataa.
La kufanya wasiliana na customer service ya payoneer uwaombe wakupe akaunti nyingine kutoka Community Federal Savings Bank. Hii ndiyo itakubali. Ukishapokea details za akaunti yako, kaiadd paypal. Haijalishi kama jina la paypal na jina la payoneer linatofautiana, akaunti za Payoneer US haina shida hata majina yakiwa tofauti kabisa bado itapokea pesa.
Ukishaiadd click withdraw. Basi pesa itachukua siku moja tu kusoma kwenye payoneer. Ikifika payoneer kama una kadi yao unaweza kuitoa atm, au ukivuta airtel money au ukahihamishai kwenye your local bank akaunti.
Hii njia nimeitumia na nimefanikiwa hivyo ninaandika from experience.
mbaki salama