Jinsi ya Kuweka na Kuulizia Salio Kwenye Blackberry Storm 1 & 2 bila Service (Data) Plan

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Heshima Kwenu Wakuu,

Jinsi ya Kuingiza salio, Piga 180,wakati namba itakapopokelewa ingiza namba za kurecharge voucher.
Mfano, Piga 180, alafu ikipokelewa piga tena *104*namba zako za vocha# alafu piga tena.

Ukitaka kuulizia salio lako fanya hivyo hivyo, piga 180 alafu simu ukipokelewa piga tena *102#.

Usisahau kulike kama ukifanikiwa.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom