Jinsi ya kuwatambua Wanawake Gold Digger ili uweze kuwaepuka

Josze Zefania

Josze Zefania

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2017
Messages
1,363
Likes
913
Points
280
Josze Zefania

Josze Zefania

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2017
1,363 913 280
Katika dunia ya siku hizi kuna wanawake aina aina nyingi sana. Leo tumeamua kuwaanika hawa wanawake wanaojulikana kama gold digger. Kawaida yao huwa wanajiingiza katika mahusiano na windo lao pasi na mlengwa kujielewa. Mwanaume anayenaswa katika hali hii mara nyingi hawezi kutambua iwapo yuko katika hali ya mahusiano ama kitega uchumi.Gold digger ni mtu aina gani?

Hii ni sampuli ya mwanamke (pia kuna wanaume aina hii) ambaye anatumia mahusiano kama kitega uchumi. hujiingiza katika mahusiano kunufaika kiuchumi. Yeye hana haja na mapenzi. Ilimradi umlipie gharama zote ambazo anahitaji yeye yuko sawa kuendelea na wewe hadi mwisho.

Je huyu mwanamke ana athari gani kwa maisha yako?

Ok. Wanaume wengine wangesema hawana tatizo na kuwa na mwanamke aina hii. Kama pesa niko nazo ya nini nilalamike? Mwache azitumie mpaka achoke yeye. Well, hapa Nesi Mapenzi tuna mtizamo tofauti. Mwanamke anayejitokeza kama gold digger huwa anatumia saikolojia kukuteka nyara kiakili na mawazo. Atatumia mbinu fioa za kukuzuzua kiasi cha kuwa kila kitu akitaka utampa bila wewe kufikiria. Na ukikataa ama kama umeishiwa na hela siku moja au nyingine atakunyima kitu ambacho umezoea kupata kutoka kwake. Mfano wa gold digger leo ukimwambia sina pesa za kukununulia simu ya iPhone X, siku ya pili hatopokea simu yako ama mbaya zaidi atakuwekea mgomo baridi usikaribie tunda lake. Upo!?

Hebu tuziangalie baadhi ya tabia za huyu mwanamke gold digger.

#1 Anakubaliana na kila kitu. Kuna wanawake wengi ambao huwa wametulia na ni rahisi kukubaliana na wewe lakini kwa hawa magold digger ni tofauti. Wao huwa wepesi sana, na kila kitu utakachowambia huwa wanakuwa wachangamfu kufanya ili wakuridhishe. Hii ni mbinu ambayo wanawake aina hii hutumia kuisimamia akili yako.

#2 Mnafanana kila kitu. Hii ni mbinu nyingine wanaitumia kuisimamia akili yako. Mara ya kwanza kukutana atakwambia kuwa anapenda kila kitu ambacho unapenda. Utajua ukweli wa haya maneno kwa jinsi anavyokujibu. Mfano ukimwambia kitu atakujibu, "Pia mimi."

#3 Anakupa heko kupita kiasi. Kuna wakati mwingine kutoa heko inafikia mahali kunapita kiasi. Mwanamke aina hii utamwona anakusifia kwa kila kitu. Ukifanya jambo flani anakusifia, ukifanya lile anakusifia, hata kupiga mswaki anakwambia, "Leo bebi umeng'ara meno" Hapo jua fika kuwa anauangalia mfuko wako zaidi ya pendo lako.

#4 Anatumia mzigo kama silaha. Hii atahakikisha kuwa ameiweka katika akili yako. Anatumia saikolojia kukuweka katika hali ya kukutunuku. Ukikosa kumfanyia kitu flani kwa mfano kumnunulia kiatu latest, atakunyima kufanya mapenzi na wewe. Lakini pindi utakapomnunulia kile anachohitaji anakupa mzigo wote. Hapa anakuweka hali mbaya ambayo unaweza kupoteza uhalisia wako. Huu ni mfano wa tabia moja ambayo wanawake aina hii hutumia.

#5 Anababaikia kazi unayofanya ama vitu unavyomiliki. Ni kawaida kwa wanawake kubabaikia mambo flani, kwa mfano kama wewe ni daktari basi anaweza kukuona wewe ni mtu muhimu na maana katika maisha kwa kuwa unasaidia wagonjwa. Lakini ukiona mwanamke anakubabaikia ilhali kazi unayoifanya haina maslahi yeyote kwa binadamu, basi atakuwa anafanya hivyo akijua kuwa hio kazi unayofanya inalipa hela nyingi.

#6 Ana ladha ya vitu ghali. Je huyu mwanamke anapenda starehe? Je nguo zake zote ni za designer ana zina nembo tambulika? Je anaweza kujimudu na hizo gharama zote? Kama hawezi basi huyo ni gold digger. Aina hii ya wanawake huwa wanatafuta mwanaume ambaye ana pesa nyingi ili aweze kuyatimiza matamanio yake ambayo yeye mwenyewe hawezi kuyatimiza.

#7 Zawadi zinampoza kama amekasirika. Kiufupi ni kuwa kila wakati ambapo utakosana na yeye ni lazima umpatie zawadi ili aweze kukusamehe. Bila hivyo utabaki na baridi yako.

#8 Hamakiniki na kile unachoongea. Utajua hili kwa kuwa hawezi kukumbuka kile kitu ambacho ulimwambia ama kuongea awali. Hii ni kwa sababu hana upendo wowote kwako, bora pesa tu.

#9 Anasahau siku zako muhimu lakini zake hasahau. Kwa mfano siku muhimu ambazo umepanga mkutane kv kutembelea sehemu flani na wewe anasahau lakini zake kato hawezi. Sehemu zote ambazo amepanga lazima uhurudhurie bila kukosa ama atakufanyia kama ile hatua ya #4 tuliyoiongea awali.

#10 Anataka mhudhurie katika vilabu ama dinner za gharama. Je anapenda gharama ikija katika maswala ya chakula ama klabu? Kama ni kweli basi lengo lake ni kuudondoa mfuko wako. Wanawake gold digger wanapenda kutembelea mikahawa ya gharama hata kama hawana uwezo wa kulipia gharama.

#11 Hujui mambo mengi kumhusu. Je unamjua kiasi gani? Unaijua familia yake? Je anapenda kuongea kuhusu familia yake? Kama haongei basi hii ni dalili ya kuwa analenga mfuko wako.

#12 Hauko ligi moja na yeye. Hebu tuongee ukweli hapa. Huyu mwanamke ni mrembo kuliko wote ushawahi kuwaona. Hujawahi kufikiria kuwa unaweza kumnasua. Lakini ghalfa unamwona ndie huyu. Ukiangalia hali yako ni kuwa hupendeki. Lakini pesa unazo nyingi kupita kiasi. Well, huyu mrembo ni gold digger, usijipe misifa ya bure.

# 13 Anakuomba pesa. Wewe na yeye hamjakuwa katika uhusiano kwa muda mrefu, labda wiki moja tu lakini huyu mwanamke tayari ashaanza kukuomba pesa bila mpangilio. Shida zote za kwake ameanza kukutajia na anahitaji pesa. Hii ni ishara ya mwanamke gold digger.

# 14 Kazi anayofanya haimpi mshahara wa maana. Kazi anayofanya haimpi mshahara wa maana. Ukichanganya na dalili tulizozieleza hapo juu katika tabia zakee basi bila shaka huyu ni gold digger.
Ok, hapa huwa hatupendi kuona wanaume wakipoteza muda na wanawake wasiofaa, ushauri wetu ni kuwa ukikumbana ama mpenzi wako anaonyesha dalili za ugold digger tunakushauri leo uweke msimamo wako dhahiri, kama utakubali kusimamiwa akili na mwanamke ama utasimama kama mwanaume alpha na kushika usukani katika mahusiano yako. Waepuke kwa kuwa wanakuwa kimaslahi zaid kukuchuna na hawana mapenzi ya kweli KUBALI/KATAA ila ndo ukweli huo

Nawasilisha..........***Habari hii nimeitoa tovuti ya Nesi Mapenzi***
 
Chris14

Chris14

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2017
Messages
3,139
Likes
2,125
Points
280
Chris14

Chris14

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2017
3,139 2,125 280
Asante kwa ujumbe mkuu. Subiri waje maana humu wamo umewagusa mulemule.

kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,256
Likes
2,407
Points
280
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,256 2,407 280

MFANO WA GOLD DIGGER NI HAMISA MOBETO. MUNGU KAMJALIA KWA HILO.MAJIZO NA DIAMOND WATAISOMA NAMBA
 
J

JWKRMM

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2017
Messages
1,561
Likes
970
Points
280
J

JWKRMM

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2017
1,561 970 280

Kuna gold diggers wasionesha dalili hizo ilmradi tuu umwoee ukisha mwoa anapanga kukuua ili amiliki mali na anakuwa mkarimu mpaka dakika ya kukuzika kaburini. Hao ni silent gold diggers hao unaowataja wewe ni wale active gold diggers na hawana madhara sana sana kwani nia yao si kuua bali kuchuna ila silent gold diggers nia yao ni kuua mwanaume ili wamiliki kila kitu waishi wapendavyo.
 
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
3,254
Likes
3,984
Points
280
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
3,254 3,984 280
Ukosahihi 90℅
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,842
Likes
10,011
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,842 10,011 280
Huyo kama fulani....
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,636
Likes
1,104
Points
280
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,636 1,104 280
Katika dunia ya siku hizi kuna wanawake aina aina nyingi sana. Leo tumeamua kuwaanika hawa wanawake wanaojulikana kama gold digger. Kawaida yao huwa wanajiingiza katika mahusiano na windo lao pasi na mlengwa kujielewa. Mwanaume anayenaswa katika hali hii mara nyingi hawezi kutambua iwapo yuko katika hali ya mahusiano ama kitega uchumi.Gold digger ni mtu aina gani?

Hii ni sampuli ya mwanamke (pia kuna wanaume aina hii) ambaye anatumia mahusiano kama kitega uchumi. hujiingiza katika mahusiano kunufaika kiuchumi. Yeye hana haja na mapenzi. Ilimradi umlipie gharama zote ambazo anahitaji yeye yuko sawa kuendelea na wewe hadi mwisho.

Je huyu mwanamke ana athari gani kwa maisha yako?

Ok. Wanaume wengine wangesema hawana tatizo na kuwa na mwanamke aina hii. Kama pesa niko nazo ya nini nilalamike? Mwache azitumie mpaka achoke yeye. Well, hapa Nesi Mapenzi tuna mtizamo tofauti. Mwanamke anayejitokeza kama gold digger huwa anatumia saikolojia kukuteka nyara kiakili na mawazo. Atatumia mbinu fioa za kukuzuzua kiasi cha kuwa kila kitu akitaka utampa bila wewe kufikiria. Na ukikataa ama kama umeishiwa na hela siku moja au nyingine atakunyima kitu ambacho umezoea kupata kutoka kwake. Mfano wa gold digger leo ukimwambia sina pesa za kukununulia simu ya iPhone X, siku ya pili hatopokea simu yako ama mbaya zaidi atakuwekea mgomo baridi usikaribie tunda lake. Upo!?

Hebu tuziangalie baadhi ya tabia za huyu mwanamke gold digger.

#1 Anakubaliana na kila kitu. Kuna wanawake wengi ambao huwa wametulia na ni rahisi kukubaliana na wewe lakini kwa hawa magold digger ni tofauti. Wao huwa wepesi sana, na kila kitu utakachowambia huwa wanakuwa wachangamfu kufanya ili wakuridhishe. Hii ni mbinu ambayo wanawake aina hii hutumia kuisimamia akili yako.

#2 Mnafanana kila kitu. Hii ni mbinu nyingine wanaitumia kuisimamia akili yako. Mara ya kwanza kukutana atakwambia kuwa anapenda kila kitu ambacho unapenda. Utajua ukweli wa haya maneno kwa jinsi anavyokujibu. Mfano ukimwambia kitu atakujibu, "Pia mimi."

#3 Anakupa heko kupita kiasi. Kuna wakati mwingine kutoa heko inafikia mahali kunapita kiasi. Mwanamke aina hii utamwona anakusifia kwa kila kitu. Ukifanya jambo flani anakusifia, ukifanya lile anakusifia, hata kupiga mswaki anakwambia, "Leo bebi umeng'ara meno" Hapo jua fika kuwa anauangalia mfuko wako zaidi ya pendo lako.

#4 Anatumia mzigo kama silaha. Hii atahakikisha kuwa ameiweka katika akili yako. Anatumia saikolojia kukuweka katika hali ya kukutunuku. Ukikosa kumfanyia kitu flani kwa mfano kumnunulia kiatu latest, atakunyima kufanya mapenzi na wewe. Lakini pindi utakapomnunulia kile anachohitaji anakupa mzigo wote. Hapa anakuweka hali mbaya ambayo unaweza kupoteza uhalisia wako. Huu ni mfano wa tabia moja ambayo wanawake aina hii hutumia.

#5 Anababaikia kazi unayofanya ama vitu unavyomiliki. Ni kawaida kwa wanawake kubabaikia mambo flani, kwa mfano kama wewe ni daktari basi anaweza kukuona wewe ni mtu muhimu na maana katika maisha kwa kuwa unasaidia wagonjwa. Lakini ukiona mwanamke anakubabaikia ilhali kazi unayoifanya haina maslahi yeyote kwa binadamu, basi atakuwa anafanya hivyo akijua kuwa hio kazi unayofanya inalipa hela nyingi.

#6 Ana ladha ya vitu ghali. Je huyu mwanamke anapenda starehe? Je nguo zake zote ni za designer ana zina nembo tambulika? Je anaweza kujimudu na hizo gharama zote? Kama hawezi basi huyo ni gold digger. Aina hii ya wanawake huwa wanatafuta mwanaume ambaye ana pesa nyingi ili aweze kuyatimiza matamanio yake ambayo yeye mwenyewe hawezi kuyatimiza.

#7 Zawadi zinampoza kama amekasirika. Kiufupi ni kuwa kila wakati ambapo utakosana na yeye ni lazima umpatie zawadi ili aweze kukusamehe. Bila hivyo utabaki na baridi yako.

#8 Hamakiniki na kile unachoongea. Utajua hili kwa kuwa hawezi kukumbuka kile kitu ambacho ulimwambia ama kuongea awali. Hii ni kwa sababu hana upendo wowote kwako, bora pesa tu.

#9 Anasahau siku zako muhimu lakini zake hasahau. Kwa mfano siku muhimu ambazo umepanga mkutane kv kutembelea sehemu flani na wewe anasahau lakini zake kato hawezi. Sehemu zote ambazo amepanga lazima uhurudhurie bila kukosa ama atakufanyia kama ile hatua ya #4 tuliyoiongea awali.

#10 Anataka mhudhurie katika vilabu ama dinner za gharama. Je anapenda gharama ikija katika maswala ya chakula ama klabu? Kama ni kweli basi lengo lake ni kuudondoa mfuko wako. Wanawake gold digger wanapenda kutembelea mikahawa ya gharama hata kama hawana uwezo wa kulipia gharama.

#11 Hujui mambo mengi kumhusu. Je unamjua kiasi gani? Unaijua familia yake? Je anapenda kuongea kuhusu familia yake? Kama haongei basi hii ni dalili ya kuwa analenga mfuko wako.

#12 Hauko ligi moja na yeye. Hebu tuongee ukweli hapa. Huyu mwanamke ni mrembo kuliko wote ushawahi kuwaona. Hujawahi kufikiria kuwa unaweza kumnasua. Lakini ghalfa unamwona ndie huyu. Ukiangalia hali yako ni kuwa hupendeki. Lakini pesa unazo nyingi kupita kiasi. Well, huyu mrembo ni gold digger, usijipe misifa ya bure.

# 13 Anakuomba pesa. Wewe na yeye hamjakuwa katika uhusiano kwa muda mrefu, labda wiki moja tu lakini huyu mwanamke tayari ashaanza kukuomba pesa bila mpangilio. Shida zote za kwake ameanza kukutajia na anahitaji pesa. Hii ni ishara ya mwanamke gold digger.

# 14 Kazi anayofanya haimpi mshahara wa maana. Kazi anayofanya haimpi mshahara wa maana. Ukichanganya na dalili tulizozieleza hapo juu katika tabia zakee basi bila shaka huyu ni gold digger.
Ok, hapa huwa hatupendi kuona wanaume wakipoteza muda na wanawake wasiofaa, ushauri wetu ni kuwa ukikumbana ama mpenzi wako anaonyesha dalili za ugold digger tunakushauri leo uweke msimamo wako dhahiri, kama utakubali kusimamiwa akili na mwanamke ama utasimama kama mwanaume alpha na kushika usukani katika mahusiano yako. Waepuke kwa kuwa wanakuwa kimaslahi zaid kukuchuna na hawana mapenzi ya kweli KUBALI/KATAA ila ndo ukweli huo

Nawasilisha..........***Habari hii nimeitoa tovuti ya Nesi Mapenzi***

Wanaita wadangaji kwa kiswahili cha kisasa.
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
23,938
Likes
12,051
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
23,938 12,051 280
Kwa hiyo?
 
Forum statistics

Threads 1,235,580
Members 474,641
Posts 29,227,797