Jinsi ya kuwafanya wateja wako kuwa loyality kwenye biashara yako

Ahsante kwa somo komandoo. Kuna wafanyabiashara wengine hata kukeep namba ya simu ya mteja anaona tabu. Kuna siku nilienda saluni bahati mbaya umeme ulikuwa umekata. Nikamwambia mwenye saluni nimwachie namba yangu umeme ukirudi anibeep. Huwezi kuamini alikataa, akaniambia we nenda ukiona umeme umerudi uje. Nikamwona akili zake 2.
 
Ya ndo Tanzania yetu hii, halafu tunaanza kulaumu kwamba wachina wanajazana kariakoo, mara wakenye wanaingiza mayai Tanzania,

Kwa kifupi tuna tatizo kubwa sana kwenye customer care hapa Tanzania, na hii itakuja kutucost sana kwenye hii dunia ya ushindani wa hali ya juu, Mteja ni mdau wa muhimu sana katika baishara ndo maana kwa ghalama yoyote ile lazima ummentain asije kuondoka kwako, kwa sababu akiondoka kumpata mwingine ni ghalama kubwa sana, angalia mfano wa makapuni ya simu ghalama kubwa wanazo tumia kuzunguka na ma sted show na wanamziki ili kuvutia wateja wapya,

ghalama ya ku mkeep mteja aendelee kuwa wako ni ndogo kuliko ya kumtafuta mteja mpya,

Back
Top Bottom