Jinsi ya kuwafanya wateja wako kuwa loyality kwenye biashara yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuwafanya wateja wako kuwa loyality kwenye biashara yako

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Feb 19, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  [h=3]NJIA ZA KUWAFANYA WATEJA WAKO KUWA LOYALITY KWENYE BIASHARA YAKO

  1. Anzisha loyality program[/h] [h=3]Hii ni moja ya njia yenye nguvu kabisa katika kuwa encourage wateja wako na ikiifanyia kazi vizuri itawafanya wateja wabakie lyality kwenye biashara yako daima.[/h] [h=3]Wateja wengi wanapenda kutambliwa na kuthaminiwa michango yao katika kukuza biashara yako, so waambie wateja wako kwambo layility yoa itathaminiwa milele na milele kwenye kampuni yako[/h]
  [h=3]2. Toa asilimia 100% guarantee ya kuwarejeshea wateja pesa yao,[/h] [h=3]- Hii ni moja ya njia ngumu kabisa na yenye maumivu makubwa sana, hii ni njia ya maumivu kwa mjasiriamali yeyote yule lakini ni moja ya njia bora kabisa za kumuincourage mteja wako, na kumfanya kuwa loyality kwa biashara yako,[/h] [h=3]Hii haiwei kuitwa offer kwa wateja bali ni entergrity yako kwa wateja wako na wateja mara nyingi hujisikia vizuri sana wanaporejeshewa pesa zao.[/h] [h=3]Mfano,[/h] [h=3]Kuna baadhi ya kampuni za mabasi ambazo gari ikiharibika tu baada ya masaa kama matutu au manne wataleta gari jingine kufaulisha nah ii huwa inawasaidia wateja kujenga uaminifu na kampuni yako,[/h] [h=3]Hakuna kitu kibaya kinacho samba katika jamii kama hasira kwa kampuni yako, kutoridhika na huduma yako na kazalika, hivi ni vitu vibaya sana,[/h] [h=3]
  [/h] [h=3]3. Toa offer ya Discount kwa wateja wako[/h] [h=3]Nini umihimu wa Discount? Discount humfanya mteja wako kutambua sacrfie kiasi gain umefanya kwa ajili yake yeye,[/h] Mfano: Unauza mayai, wawekee wateja wako discount kwamba akinunu kiasi Fulani atapunguziwa bei kiasi fulani


  [h=3]3. Kumbuka Tarehe muhimu sana[/h] [h=3]Hii Ni moja ya njia nzuri Sana ya kuwa encourage wateja wako, Na inaongeza customer loyality Kwa kampuni yako, hii inawafanya wahisi ni kiasi gain kampuni yako inawajari wateja wake.[/h] [h=3]Mfano: 1. Kuwatakiwa wateja wako hapy birthday[/h] [h=3]2. Kuwatakia wateja wako sikukuu njema[/h] [h=3]3. Kumtakia mteja wako congaraturation pale anapo pata motto au kuhitimu kitu Fulani[/h] [h=3]Hapa jaribu kuwa na Dayari na weak kumbukumbu za wateja wako ikiwemo tarehe ya kuazaliwa, Tarehe za kuzaliwa za watoto wao, muda wa watoto wao kuhitimu masomo, na information zingine ili iwe rahisi kufanya hivyo[/h] [h=3]
  [/h] [h=3]4. Hakikisha uko karibu sana na wateja wako,[/h] [h=3]Jitahidi kuwapa up date wateja wako ni kitu gain kinaendelea kwenye kampuni yako na kazalika hii itawafanya wajisikie vizuri sana[/h] [h=3][/h] [h=3] 6. Wape wateja wako free sample ya bidhaa[/h] [h=3]Hii inasaidia kuwajenga wateja wako na kuwatia hamasa sana, unafanya biashara ya kufuga kuku wape wateja wako sampe ya kuku wako wanyama unao tarajia kuwauzia[/h] [h=3]- Unapika mandazi wape sample ya mandazi yako,[/h] [h=3]
  [/h] [h=3] 7. Wapatie wateja wako zawadi za kushitukiza[/h] [h=3]Hii ni nia rahisi sana na yenye umuhimu katika kuwahamasisha wateja wako, Hebu fikiria wewe huwa unajisikiaje unapo pokea zawadi ambayo hukuitegemea?[/h] [h=3]Usione ni hasara kufanya hivyo kwa sababu impact yake kwa kampuni yako ni kubwa sana[/h] [h=3][/h] [h=3]6. Wapatie wateja wako huduma ya free [/h] [h=3]Mfano wewe unauza mayai, basi wapatie wateja wako huduma ya kuwapelekea mayai hadi sehemu wanayo peleka.[/h] [h=3]- Wewe ni fund computa baada ya kumaliza kumtengenezea mteja komputa mfanyie installation za program bule kabisa,[/h] [h=3]- Hii ni njia nzuri sana ya kujenga loyality kwa wateja wako na wewe kama wewe utaangalia ni vipi unaweza kuipractice kulingana na biashara yako na uwezo wa biashara yako[/h] [h=3][/h] [h=3]7. Andaa party ya asante/kuwashukuru wateja wako[/h] [h=3]Hii ina weza kuonekana ni ghali sana lakini kuandaa party ya kuwashukuru wateja wako ni jambo la maana sana na ambalo lina impact kubwa sana kwa wateja wako,[/h] [h=3]- Hii itasaidia wateja wako kukutana sehemu moja na kudiscus vyema kuhusu bidhaa zako/ huduma yako,[/h] [h=3]- Inasaidia wateja wako kukuuliza maswali ya ana kwa ana[/h] [h=3]- Inawafanya wateja wako wajihisi na wao ni sehemu ya bidhaa zako/huduma yako[/h] [h=3][/h] [h=3]8. Fanyia kazi malalamiko ya wateja kwa haraka sana na kwa kasi ya ajabu,[/h] [h=3]Hii ndo mbinu namba moja ya kuweza kujenga loyality ya wayeja wako, nah ii ndo njia ambayo usipo ifanyia kazi huwa unawafanya wateja wakulaumu sana na hata kuhama kabisa kwenye kampuni yako,
  Hakuna kitu kinaweza kuwafanya wateja wawe na hasira kama maneno yako ya negative utakayo yatoa zidi yao[/h]

  KUMBUKA KWAMBA HABARI MBAYA HUSAMBAA KWA KASI NA HARAKA ZAIDI KAMA MOTO ULIOWASHWA POLINI, SO NA HABARI MBAYA KUHUSU BIASHARA YAKO ZINAWEZA SAMBAA KWA KASI YA KUTISHA NA NDANI YA MUDA MFUPI IKAWA IMEISHA WAFIKIA WATEJA WAKO NA WATU WENGINE WENGI SANA
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,043
  Likes Received: 3,072
  Trophy Points: 280
  Ungeweka title yako kiusahihi zaidi alafu tukaendelea mkuu..pale kwenye ...''kuwa loyality''...ikasomeka ..''kuwa loyal''...
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu si zan kama kuna kilicho haribika
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kwamba hizi idea ni nzuri, nyingi zake zina gharama kwako free samples, parties, discounts, guarantees etc so inategemea ni biashara ya aina gani unafanya na kama margins (sale price - cost) zako ni kubwa kiasi gani, lazima uhakikishe hizo promotion zako zitaleta faida mwishoni.
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hakuna gharama kubwa kwenye biashara kama kuacha kufocus kwa wateja wako.
   
 6. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu yote uliyoyaeleza ni muhimu na rahisi kwa kila mfanyabiashara/mjasiriamali kuyafanya kama anataka kufanikiwa. Haijalishi kama ni mfanyabiashara mdogo au mkubwa. But tatizo nilionalo mimi ni kuwa watu wengi wanafanya biashara kwa mazoea tu. Wanadhani biashara ni suala la kuweka bidhaa na kungoja mteja aje! Na siku mauzo ya kiwa kidogo basi wanajikinga na mwamvuli wa "mipango ya Mungu", "Sio ridhiki" n.k

  Kiukweli tunahitaji kubadilika, na tusipokubali kubadilika tukiwa tumejiandaa basi mazingira yatatulazimisha kubadilika. Pamoja na mambo mengine hint hizi alizozitoa Komandoo ni sehemu ya msingi ya kuitolea macho. Binafsi huwa napenda kuyaweka haya mambo katika makundi matano kwa biashara kufanikiwa. Na kwa leo ninaomba niyataje mawili yanayoendana na maada yetu
  1. Customer Experience (mengi yapo kwenye mchango wa komandoo)
  2. Customer Care (mengi yapo kwenye mchango wa komandoo)
  3. ....
  4. ....
  5. ....
   
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa real Entrepreners hiki kitu kinawezekana kabisa ila kama wewe tageti yako ni profit pekee huwezi fanya kitu kama hiki hata siku moja,

  Hakuna kinacho shindikana hapo ni kupangilia tu mkuu, Tuko katika ulimwengu wa ushindani miubwa wa kibiashara so bila kuwa na mikakati madhubuti utaishia kufunga biashara yako, kuno competition kubwa sana katika kutafuta wateja na kuwa maintain,
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mkuu naona habari yako ni nzuri na inafaa lakini imekaa upande wa kuwahongahonga wateja zaidi,mimi nasema hivi wewe ukitaka kufanya biashara weka product za uhakika na zenye ubora,pamoja kuangalia biashara umeitega wapi katika mazingira yapi,mfano mtu aliyetega biashara sehemu yenye wingi mkubwa na watu ni tofauti na zenye watu wachache,na pia biashara ni matangazo na kutangaza sio lazima uwahonge wateja sana ndio ufanye biashara,unaweza kuweka mabango,unaweza kuwaelezea watu kuhusu product yako sio lazima uwafanyie sherehe ndio waipende product yako,tujaribu kufikiria zaidi mbinu ya kumvutia mteja bila kutumia gharama kubwa sana.
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwanza kabisa. Je wewe ni mfanya biashara au mJasirimali? kama ni mfanya biashara uko sahihi na kama ni mjasiriamali uko wrong kabisa

  Unafurahisha sana mkuu, Hizi ni strategies ta kutengeneza loayility ya wateja kwako, na si kuwahonga, wewe ndo unaye jua hizi ni njia za kuwahonga wateja
  Mkuu kama ni product za nguvu kila kampuni inazo za nguvu sana, Mfano
  1. Cocacola na Peps

  2. Kilimanjaro bear na Serenget

  3. White Dent na Collogate

  Mfano mingine wote mnazalisha mayai ya kuku wa kienyeji au kisasa je wewe product yako itakuwa na nguvu kiasi gani? mayai yako ya kuku wa kienyeji na ya mwenzako ya kuku wa kienyeji yatatofautiana vip?


  Location
  1. Hakuna kampuni hata moja inayo weka location ambayo siyo

  Matangazo

  1. Cheki mfano wa kampuni za sabuni za unga si zote zinatangaza?

  2. Cheki twiga cement na Simba cement wanavyo tangaza

  3. Cheki makampuni ya simu yanavyo fanya matangazo makubwa

  MKUU HAYA MAMBO NI MAGENI KWAKO NA KWA WATANZANIA NA UTAKUJA KUYAELEWA ONE DAY, BIASHARA SI KUUZA TU NA KUPATA FAIDA, CHEKI MFANO WA MABENK HATA MABENK HUWAFANYIA PARTY WATEJA WAO MUHIMU SANA

  1. USIPO FANYA WEWE WATAFANYA WENGINE NA HAPA SI KUWAHONGA

  1. MFANYA BIASHARA KAMA MENGI UKIMTUMIA KADI YA BUKU MOJA NI KUMHONGA?

  2. UKIWANDALIA WATEJA WAKO PARTY YA SODA MOJA NA KEKI NI KUWAHONGA?

  MKUU HAPA SI SIASA NA SI KILE CHAMA KINACHO FANYA PARTY NA ZAWADI ZA KUWAHONGA WAPIGA KURA, UNACHO FANYA NI KUJARIBU KUWAHAMASISHA WATEJA WAKO NA WAJIONE WAO NI SEHEMU YA KAMPUNI YAKO.

  Mkuu ghalama ya kumaintain mteja ni ndogo sana kuliko ya kumtafuta mteje mpya,

   
 10. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu Komandoo asante kwa somo zuri nimelipenda sana. Naomba unieleweshe zaidi juu ya loyality program tafadhali.
   
 11. u

  ureni JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii kitu ya biashara iko complex sana,kwa mfano hiyo uliyosema ya kuwatakia watu heri ya sikuku,mie naweza kutoa mfano kuna watu kama watano tofauti nilishawahi kusikia wakilalamika kuhusu line zao za tigo na voda kuwatumia msg mbalimbali kama ulizosema zikiwemo za heri ya sikuku na nyingine nyingi bila idhini yao,kwa kweli ni kero kwa watu wengi hawapendi wengine wamediriki kupiga mpaka huko kwa maprovider kulalamika kutumiwa hizo msg,hiyo imekua ni kero haifurahishi wateja wengi.

  Hiyo niliyokueleza bidhaa zenye ubora naweza kukupa mfano,gazeti la mwananchi ni gazeti linalouzika sana kuliko magazeti mengine nchini,ni kuwa wanajitahidi kutoa habari yenye uhakika na ukweli ndio ubora wenyewe huo.Leo wamepandisha bei watu wanaendelea kulinunua kwa sababu ya ubora wake.

  Mfano mwingine kuna maziwa fulani yanaitwa Tanga Fresh kwa kweli haya maziwa yanauzika zana especially maeneo ya Dar na sio kwa sababu ya sherehe wanazofanyia wateja ni kwa sababu ya ubora wa bidha zao.

  Mkuu unazungumzia mambo ya kuandaa party kwa wateja wako,pepsi na cocacola kweli wakiamua kuandaa party kwa wateja wake kampuni hizo zitasurvive kweli?wateja wao ni watanzania milioni 40.

  Umeleza kugawa sample kwa wateja kilimanjaro na serengeti wagawe sample zao kwa mamilioni ya wateja wao ,ndio maana nikasema idea yako ni nzuri lakini inahongahonga wateja sana.

  Mie bado nasema hivii cocacola na pepsi tengenezeni bidhaa zenye ubora,chupa safi hamna uchafu ndani,ladha inayokubalika mtafanya biashara,ili iwe hivyo boresheni maslai ya wafanyakazi wenu watasimamia vizuri zitatengenezwa bidhaa zenye ubora mtauza tu.
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  1. KWENYE KUMBUKUMBU MUHIMU
  - Hii inaweza kuwa sikukuu ya kuazliwa cristmas, New year na kazalika. ni kweli makampuni ya simu hufanya hivyo na si makampuni ya simu pekee makampuni kibao huwatakia sikukuu njema wateja wao muhimu sana na hata kuwatumia kadi za kuzaliwa kwa mteja mmoja mmoja au kadi ya ujumla kwa ajili ya kampuni nzima.
  Hao wanao lalamika siwezi jua mimi,

  WEWE UNAWEZA KUWA NA MGAHAWA WAKO AU BIASHARA YA KUUZA MAYAI AU KUKU NA UKAWA NA NAMBA ZA SIMU ZA WATEJA WAKO WOTE NA HATA TAREHE ZAO ZA KUZALIWA NA INAPOFIKIA UNAKUWA UNAWATUMIA EITHER KADI AU SMS

  2. KUHUSU MWANANCHI,
  Mkuu mimi sizungumzii kampuni kushindana nazungumzia kumainatain wateja wako, mkuu elewa maada yangu tafadhali, si zungumzii ni kampuni ipi inawateja wengi nazungumzia kuwa encourage wateja wako na kuwatia moyo waendelee kubakia kwako wasiondoke,

  3. MAZIWA YA TANGA
  Mkuu hii party hazifanywi kwa wateja wote, MFANO KAMPUNI YA SONY NIKUBWA SANA HAIWEZI FANYA PARTY KWA WATEJA WANAO TUMIA VIFAA VYAKE DUNIA NZIMA NA NDO MAANA NASEMA HIZI STRATEGIES HAZITUMIKI ZOTE KWA WAKATI MMOJA INADEPEND NA NATURE YA BIASHARA YAKO

  Hata hivyo kampuni kama SONY inafanya party au hata kuwaalika wateja wake muhimu kutembelea makao makuu yao na hii inafanyika kwa wale wateja wao wajumla mfano Africa inaweza kuwa na wateja wake wakuu my b 50

  SONY inaweza kuwa na ajent wake Tanzania na ikawa naye Kenya so yenyewe inakuwa inafanya kwa wateja wao ngazi ya nchi na hawa Maajent walioko Tanzania watafanya hizo startegies kwa wateja wao nagazi za chini

  4. SAPLE
  Mkuu kwani zile promotion zinazo fanyika huwa ni zanini? huwezi gawa kwa kila mtu but unaweza kugawa kwa watu fulani au wateja fulani kuwakilisha wengine, Kama wewe ni mywaji utakua unajua kuwa huwa wanagawa sana

  Na hii sample huwa ni kwa bidhaa mpya inpo ingia sokoni, na huwa wanafanya sana na makampuni kibao duniani huwa yanafanya kuanzia ya magari, Computa, na kazalika ila si kwa kila mtu,

  So wewe ply your party
   
 13. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Dada kwenye loyality programa ni kile kitendo cha kuwa treat wale loyal customer tofauti na wateja wengine

  NAOMBA IELEWEKE KWAMBA LOYALITY HAIJENGWI KWA KILA MTEJA ANAYE KUJA KUNUNUA KWAKO, NO HII NI KWA SPECIAL CUSTOMER ONLY.

  Mfano
  1. Mabenk kuna ile tabia yao ya wateja wenye pesa nyingi hawapangi foleni hiyo ni moja ya hio

  2. Na hata makampuni ya simu yana special number kwa wateja wao wale wa After paid, wanao lipia kama bili vile na hii ni treat spcial kwao

  3. Unaweza kuwa na ukumbi wako wa cinema na wale loyal customer wako wakawa na viti special

  4. Unaweza ukawa na saluni yako wale loyal customer wako wakawa na treat tofauti na wateja wengine na hii si ubaguzi kwa sababu upo sana

  LEO HII MABENK KUNA WATEJA WAO WAKISEMA WANA FUNGA AKAUNTI ZAO BENK INAWEZA KUFILISIKA NA HAWA WATEJA HAWAWEZI HATA SIKU MOJA WAKATENDEWA AU WAKA PATA HUDUMA SAWA SAWA NA WATEJA WENGINE, HAWA WAKIJA KUONANA NA MENEJA INABIDI WATEJA WENGINE MKAE PEMBENI KWANZA

  5. NA HATA MAHOSPITAL HAYA YA PRIVATE YANA HUDUMA SPECILA KWA WATEJA WAO AMBAO NI LOYAL NA WAKIJA WANAUMWA WAO NI FASTA
   
 14. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Komandoo asante kwa uzi huu!!
   
 15. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Ok fresh but inatakiwa ufanyie kazi haya ili kuhakikisha unajenga loyality ya kwa wate wako.
   
 16. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nimejifunza mambo mengi sana hapa, yaani JF ni zaidi ya University....!!! Asante sana KOMANDOO.
   
 17. A

  Akiri JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  siku zote ukiyastajabia ya Musa , utayaona ya filauni
   
 18. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  hii ni bonge la elimu na inaweza tusaidia sana katika hii dunia ya ushindani, katika ulimwengu wa ushindani mkali sana bila kuwa na mikakati unaweza shindwa biashara,
   
 19. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  wooooow!!great!! mkuu kwa hili umekuwa profesa wangu kwa leo,nimejifunza mengi sana namna ya kuwatreat wateja wangu
   
 20. d

  dav22 JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nyc post kwa wajasiliamali
   
Loading...