Jamani wako watu humu kwenye jukwaa, wanajinadi kuwa ni wachawi, wengine wanajinadi kwa vipawa vya kila aina. sasa nasema watanzania wengi ni masikini, basi wafudisheni jinsi ya kuwa matajiri badala ya kuwafundisha Uchawi na jinsi ya kuingilia mafacebook ya watu na mabmbo mengine maovu. Hivyo anaye jua jinsi ya mtu kuwa tajiri adadadue hapa watu wachote utajiri.