Jinsi ya kuwa Tajiri

twijuke

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
547
252
Jamani wako watu humu kwenye jukwaa, wanajinadi kuwa ni wachawi, wengine wanajinadi kwa vipawa vya kila aina. sasa nasema watanzania wengi ni masikini, basi wafudisheni jinsi ya kuwa matajiri badala ya kuwafundisha Uchawi na jinsi ya kuingilia mafacebook ya watu na mabmbo mengine maovu. Hivyo anaye jua jinsi ya mtu kuwa tajiri adadadue hapa watu wachote utajiri.
 
Dah... utasababisha wapeshe masharti ya kulogana humu. Tutaanza kulogana kwa ID;
Watu kama The Boss Sista gfsonwin etc wajiandae kutolewa kafara
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom