Jinsi ya kuwa nadhifu (smart)

evocom

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
253
218
Kwa wale wanamitindo ni aina gani za nguo kijana (gentlemen) inabidi avae katika hali tofauti?
 
kwa wale wanamitindo ni aina gani za nguo kijana (gentlemen) inabidi avae katika hali tofauti?
Binafsi siamini kwamba nguo za aina flani zinamfanya mtu kuwa smart. Kuwa smart ni wewe mwenyewe nakujiamini kwako. kuwa smart ni kuchagua mtindo au style yako mwenyewe, sio kuiga wavaavyo wengine. Nguo zozote unazo vaa zitakufanya uwe smart.
 
Vaa kama mpoto,au tembea uchi mbona utabamba tu!,au tafuta kontena la makenikia peleka gereji ukatengenezewe gauni lenye style iitwayo escrow
 
Binafsi siamini kwamba nguo za aina flani zinamfanya mtu kuwa smart.
kuwa smart ni kuchagua mtindo au style yako mwenyewe, sio kuiga wavaavyo wengine. Nguo zozote unazo vaa zitakufanya uwe smart.

hizi ni sentensi tata
 
Huu Uzi ungekuwa Bora zaidi kama wachangiaji tuchangia Kwa mifano halisi ya picha
 
Back
Top Bottom