We kiboko mpk huku .....uko vema mkuuZipo nyingi tu mkuu ila Hata suit inaweza kukufanya ukawa smart...(bahati mbaya nimekosa picha)
We kiboko mpk huku .....uko vema mkuu
Hahaha kawaida mkuu, hata na mimi napenda utanashatiWe kiboko mpk huku .....uko vema mkuu
Binafsi siamini kwamba nguo za aina flani zinamfanya mtu kuwa smart. Kuwa smart ni wewe mwenyewe nakujiamini kwako. kuwa smart ni kuchagua mtindo au style yako mwenyewe, sio kuiga wavaavyo wengine. Nguo zozote unazo vaa zitakufanya uwe smart.kwa wale wanamitindo ni aina gani za nguo kijana (gentlemen) inabidi avae katika hali tofauti?
Huyo jamaa sio wakispot spotWe kiboko mpk huku .....uko vema mkuu
huyo jamaa kashindikanaWe kiboko mpk huku .....uko vema mkuu
HaichekeshiVaa kama mpoto,au tembea uchi mbona utabamba tu!,au tafuta kontena la makenikia peleka gereji ukatengenezewe gauni lenye style iitwayo escrow
Binafsi siamini kwamba nguo za aina flani zinamfanya mtu kuwa smart.
kuwa smart ni kuchagua mtindo au style yako mwenyewe, sio kuiga wavaavyo wengine. Nguo zozote unazo vaa zitakufanya uwe smart.
HahahahaUnataka uwe smart ili iweje? Anyway nenda kibiti
Unataka uwe smart ili iweje? Anyway nenda kibiti[/QUOTE
yeye anapenda kuwa smart. hiyo ni hobi yake
Unataka uwe smart ili iweje? Anyway nenda kibiti
Unataka uwe smart ili iweje? Anyway nenda kibiti