Jinsi ya kuwa milionea ktk dunia ya tekinolojia

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
May 30, 2021
333
671
JINSI YA KUWA MILIONEA KTK DUNIA YA TEKINOLOJIA:

Wakuu habarini za Leo.

Napenda kuwapongeza wadau wote waliomo humu ndani ya group Hili, mimi binafsi natambua michango yenu ktk kusaidia na kuelekezana mambo mbali mbali yahusuyo computer.

Dunia ya leo inaenda kasi Sana nasi tumekua mashuhuda, asilimia kubwa ya matajiri utajiri wao umetokana na mfumo wa kitekinolojia, tunamuona Bill get, jack wa China, waanzilishi wa Facebook, YouTube n.k Ni wengi Sana kwa idadi na kadri dunia inavyo zidi kukua ndivyo watakavyo jitokeza matajiri wengine.

Ni kweli tekinolojia ni pana Sana, lengo la makala hii nimewalenga wadau wote wa Computer science & it student's group kutoa mchango wenu;

i/ Nikwa namna gani sisi kama wadau wa to Tunaweza kuziona fursa kubwa ZINAZO weza kufanya mapinduzi ya kitekinolojia na sio kuishia tu kwenye maswala madogo madogo?

ii/ wewe unawaza nini katika kujikomboa kiuchumi kupitia elimu hii ya tekinolojia uliyo nayo?

*ainisha na maono yako na plan ulizo nazo.


KUMBUKA MAKALA HII IPO KWA NIA YA KUTUJENGA,KUJIFUNZA, PAMOJA NA KUONA MICHANGO YA FURSA KUTOKA KWA WADAU.

NASUBIRI MICHANGO YENU WADAU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo fursa nyingi sana ila nashindwa namna ya kuzielezea hasa kwenye mambo ya music publishing.
Utajiri mara nyingi huja kwa kipato aina ya passive income, yaani kutengeneza pesa bila ya kujishughulisha.
Najua wengi mtashangaa ila kitaalamu ni kutengeneza pesa kisha ikufanyie wewe kazi. Mfano waliotengeneza social media wanavyotengeneza pesa kupitia contents na advertisements.

Habari njema ni kwamba katika hii information age ni rahisi kutumia taarifa na elimu uliyo nayo kuzalisha passive income itakayokuwezesha kupata mtaji wa kuanzisha biashara zingine mbalimbali.

Yangu ni hayo tu kwa leo wakuu.
 
Back
Top Bottom