Jinsi ya kuvutia matangazo ya biashara katika website au blog | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuvutia matangazo ya biashara katika website au blog

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Crucifix, Aug 5, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Heshima mbele wakuu

  Nimeona matangazo mengi (mfano makampuni ya simu au benki) katika tovuti na blogu nyingi. Ningependa mnijuze wana JF ninapaswa nitimize vigezo gani ili kuyavutia makampuni kutangaza katika website au blogu yangu. Natanguliza shukrani kwa majibu constructive.
   
Loading...