SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
Yeah!! sijakosea kuandika ni kweli kabisa kwa sasa Technology ipo mbali sana zaidi ya tunavyofikiria watanzania na madeni ya Dowance na Tatizo la TANESCO!
OK...
Kwa watumiaji wa UBUNTU sasa unaweza unganisha MONITOR 10 zikatumia PC moja tu na kila user akawa anajitegemea bial interfearance yoyote!
ni kweli Kila user anakuwa na MONITOR yake Keyboard yake na Mouse yake!
Nazote kumi zinatumika kwa wakati mmoja. yaani huyu ana peruzi JF mwingine ana type maandishi, yule anacheza game mwingine anaaa....yaani wewe tu.
Tena sio mwisho kumi tu unaweza unganisha hadi Hamsini 50 users kwa 1 PC!!
(Yeah ulizani unajua kumbe hujui kitu)
Faida:
unaweza unganisha kwa OFISI ukapunguza gharama,kwa kununua PC 1 tuu!! na monitor kibao
mfano--internet cafe
---shule aka skuli
HOW:
Userful MultiSeat Linux 2011 Complete Virtual Desktop School Computer Education Solution
Ni program ambayo unainstall kwenye pc ambayo unataka iwe ndio main.
yaitwa userful multseat.
ukisha install unaunganisha usb hub port 2
ambayo ina port 10 na 10
so total port ni 20..... so kila port unaingiza usb mouse na keyboard
so utapata 10 users.
na VGA port ipo kama usb hub na yenyewe unaunganisha 10 monitors..
ok kama huelewi helewi hii hapa ni site yenye program hiyo na maelekezo.
kwa bahati mbaya FREE TRIAL unaunga computer 2 tu kwa 1 pc Kama ukipenda unai nunua.
Home : Multiseat Linux Desktop Virtualization And Secure Centrally Managed Computers - Userful
haya wajasiria mari!!! wenye cafe....wenye ofisi zetu zile mafundi simu ... kazi ni kwako jamaani
Cheers!!!!