Jinsi ya kuunganisha airtel internet kwenye simu

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Habari
nimehangaika sana kwenye configaration settings ili niunganishe simu yangu ya nokia 5300 express music kwa ajili ya internet nimeshidwa naombeni utaalam zaidi ili niweze kuaccess internet
thank you
 
Tuma
Wap nokia 6300
kwenda
232

Ikishindwa hiyo weka model yako badala ya hiyo.
 
manually:nenda kwenye connectivity tafuta destination/internet kisha creat new account/access point jaza internet.
 
Nenda kwenye meseji andika
access tuma kwenda no 232
hata hzo walızoandıka juu hapo zinafaa vilevıle,kama ikigoma andıka internet kwenda namba 232
 
key word nzuri andika all kwenda 232 utapata access point ya intanet, mms na wap. Kuunga manual fata maelekezo ya pcman. Kama ikitokean setting unazo na hela ipo but ukiingia net inasema "packet data connection is not available" that mean line ndo haijaungwa internet not simu so wapigie 100 wakuunge
 
hyo njia ya ku2ma text imeshasitisha. Nenda setings_connectivity_destinations_internet then create new access point name it internet then,give it 1st priorty bac.
 
Back
Top Bottom