Jinsi ya kuua panya wengi shambani kwa wakati mmoja

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,374
13,320
Pole sana kwa kuhangaika wakuu !
Panya kutokuwepo kabisa sio nzuri kwa afya ya mazingira ,kisayansi huwa wana kila kiumbe ni muhimu duniani hata nyoka na mbu,tatizo kuna muda balance inaharibika ndo yanayo wakuta ninyi ,hapo inabidi mje na mbinu za sisi wajeda.
Fanya hivi

Mahitaji

Unga wa mahindi 3
Unga wa ngano kilo 10
Chumvi 1 kg
Baking powder 500 grams
Dagaa waliosagwa kilo 1
Cocoa powder 200 g (sio lazima)
Cement 5 kg
Maji

Jinsi ya kufanya

-Changanya mchanganyiko wa hapo juu uchanganyike vyema (usiweke maji)
-Kisha nenda maeneo ambayo kalibu na wanapojificha au chini ya vivuli kisha mwaga unga kama viganja viwili ,waweza weka zaidi unapojua ndo makao yao makuu .
-Pembeni ya unga hakikisha unaweka maji ya kunywa masafi .

Jinsi inavyofanya kazi

Mlo huo nimlo mtamu sana kwa mchanganyiko wa vitu anavyovipenda sana panya ,mara baada ya kufakamia mlo huu mnono atasikia kiu ya maji kali sana kutokana na chumvi ,baada ya kunywa maji cement itaunda tofari tumboni mwake ,wakati huo baking powder itahumua ngani iligo kandwa na maji hivyo hatimaye hufa ,Mbinu hii huweza kuua hata panya 2000 kwa usiku mmoja ,endelea kuweka ila usiwamalizewote ukiona usiku mzima unaamka wamekufa 20 tuu acha panya ni muhimu kwenye afya ya mazingira .

NB : - Zoezi hili sio hatari kwa viumbe wengine kama paka na mbwa maana haina sumu ndani yake
- Kwa matokeo mapana shilikisha wakulima wengine na bwana kilimo awapekisio la kimazingira unaweza kuta
kuna viumbe wako hatarini kupotea (endangered spicies) ambao wanawekwa mjini na kula hao panya

Karibu sana mkuu.
 
Jee utaalam huu hautawaathiri wale ndugu zangu wa masasi na newala ambao hupenda sana kuku nchanga?
 
kwa kuwa hauhusishi sumu watajipatia vitoweo ,lakini rejea mkuu nimeshauri usiue wote maana wanahitajikakimazingira
 
Haya ndugu zangu wa kuku nchanga teknologia ya kuongeza biashara yetu ya kuwapa lishe ya protin ndugu zetu kule ntwala,newala,masasi, nachingwea etc etc.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom