Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,677
- 106,779
Je tufanyaje.. watumis nn?Yaani ni jambo la kwanza lililokuja kichwani mwangu
Je tufanyaje.. watumis nn?Yaani ni jambo la kwanza lililokuja kichwani mwangu
Je tufanyaje.. watumis nn?
The same. Naona ukianza kuzitia midawa ya kuosha au kukuza ndio zinaenda kuharibika..zinakua zinahitaji utumie kila sikuLabda ukiosha uweke shampoo zaidi ya mara moja.
Me ata sina mda wa kushuhulikia nywele naosha nachana nabana au siku nyengine sichani kabisaaa 🤣
Four hours vitungu kichwani-hauna kazi nyingine. Kutunza nywele ili ziweje kwanzaView attachment 1231221
Jinsi ya kuandaa
* Chukua kitunguu kimoja au viwili kutegemea na na ukubwa wa kitunguu kimenye
* Kata kitunguu au vitunguu vipande vidogo vidogo ili iwe rahisi kusaga au kutwanga
* Visage au vitwange mpaka vilainike kabisa ili uweze kutoa maji kwa urahisi na uvichuje bila kuongeza maji.
Jinsi ya kupaka
Paka kichwa kizima na kisha uvae kofia ya plastic ambayo itasaidia kukupa joto zaidi.Kaa na kofia ndani ya saa 4-5 kisha utoe na kuziosha Nywere. Kwa matokeo mazuri zaidi fanya hivo mara 2au3 kwa mwezi
Unaeza funga mtandio mzito fo joto. And ukiosha na shampoo 3* haruf inapungua. Ukpaka na mfuta inakaa sawaUlipokosea ni kusema tumia kofia ya plastic na unajua kabisa hakuna kofia ya hivyo otherwise utumie kondomu