Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,021
- 26,336
Hapana mkuu wanaweza kutumia isipokuwa kuna utaratibu wa kutumia nyota ya simba inatumia ubani pia lakini jamii ya Sandarus na vile vile punda lakini nayo ni jamii ya sandarus kulingana na rangi.Kwa maelezo yako watu wenye nyota ya simba na punda inamaana wasitumie watakaribisha nuksi,mabalaa na mikosi maana wao siku zao ni jumanne na jumapili.
Au nimekosea mkuu
Ndio wanafaa isipokuwa ni bora zaidi kama watauchoma na Qistππ π₯π¦πππ π«ππππ¨π ππ¨ππ«π π ππ₯π πππ£ 23 ,π₯π¦πππππ ππ¦πππ ππ π¦ππππ?
Hakuna uhusiano wowote mkuu isipokuws ubani ni ziada tu ya mafudho yenye harufu inayowapendeza wachache. Kiimani huaminika harufu yake hupendezwa na wanadamu,majini na malaika pia hakuna chochote special kuhusu ubani kwenye dini.Kuna uhusiano gani Kati ya ubani na dini?
Madai ya baadhi ya elimu za dini inasema ndio siku ambayo iliumbwa kila kitu kibaya, by the way hakuna mtu mwenye bahati za ghafla kama mtu aliyepo chini ya nyota zinazotawala jumanne, kujijua tumkuu hivi kwanini tunaomiliki siku ya jumanne tunakuwa na nuksi nyingi?
Ubani na udi ni mafusho huvutia malaika na pia baadhi ya majini ni harufu nzuri sana kwa baadhi ya watu lakini pia viumbe tofauti na binadamu hupenda ubani shida moja watu wengi huamini ubani huusishwa na majini tu lakini source ya ubani ni kila kiumbe mwenye kupenda harufu yake huupenda iwe ana majini au hana na wengine roho hulipuka wakiskia harufu yake haina maana ubani ni mzuri kwa kila mtu wengine harufu yake huona kama mavi pia udiMkuu mimi nikipita sehemu kama kuna harufu ya udi au ubani huwa najiskia raha sana na amani moyoni mwangu huwa nataman nisiondoke mpaka leo sijajua ni kwa nini wakati sina majini wala mashetani hii inaweza ikawa ni nin kwa wewe mwenye elimu pana ya mambo haya Rakims
"Kujijua tu" ungefafanua zaidi kujijua kwa namna gani labda ili hizo bahati za ghafla uzitambue?Madai ya baadhi ya elimu za dini inasema ndio siku ambayo iliumbwa kila kitu kibaya, by the way hakuna mtu mwenye bahati za ghafla kama mtu aliyepo chini ya nyota zinazotawala jumanne, kujijua tu
Rakims
Mkuu nimezaliwa mwezi wa 3 tarehe 27 mi na nyota gani?Hapana mkuu nuksi inategemea na mtindo wa maisha unayoishi na hiyo nyota
Rakims
Karibu mkuu tembelea piaHuwa nazikubari sana ,post zako mkuu.
mkuu je ni kweli nyota ya punda katika vitu wanavyotakiwa kuavoid kimojawapo ni pombe?Hapana mkuu nuksi inategemea na mtindo wa maisha unayoishi na hiyo nyota
Rakims