Jinsi ya kutumia Tapatalk

Bilionea kid

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
581
516
WAKUU mambo vp?
I hope mko pow?

Mm nilikuwa naomba kujuzwa jinsi yakutumia Tapatalk app maana hii app ya JF inazinguwa

R.I.P Kibonde
 
Chota vijiko viwili, changanya na maji nusu kikombe, chemsha kwa dakika 15, apo ni tayar kwa kunywa, fanya ivo kila siku asubuhi

Daah! Aisee mkuu si nitaharisha sanaa!

Acha utani bhana nipo serious mkuu nahitakujuzwa kama unajua nipe maelekezo
 
Sawa mkuu, APPLICATION ya tapatalk iliyopo kwenye play/app store hiyo ni feki.... Ukitaka original lazima uwasiliane na programmers... Mfano kama mimi naweza kukuwekea Tapatalk original kwenye simu yako kwa shilingi 50000/= tu hii ni bei ndogo kwakuwa wewe ni member mwenzangu wa Jf.. Nikisha kuwekewa unaifungua na utakuta forums mbalimbali ikiwemo jamii forum, then utaingia forum uipendayo kwa kuingiza email na password... Hapo utafurahia mijadala mbalimbali na taarifa kwa ujumla...

Karibu mkuu ni shilingi 50000 tu epuka matapeli.. Kwa maelezo zaid njoo pm
 
😂 daah! Mkuu umeamuwa kabisa utumie fursa! .
 
Woyooooooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKUU mambo vp?
I hope mko pow?

Mm nilikuwa naomba kujuzwa jinsi yakutumia Tapatalk app maana hii app ya JF inazinguwa

R.I.P Kibonde
Ingia play store kisha download, ukisha download search Forums "JamiiForums" ikija Fanya ku-FOLLOW kisha ingiza User name yako pamoja na Password unayotumia ku log in JF. Then you're done

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sawa mkuu, APPLICATION ya tapatalk iliyopo kwenye play/app store hiyo ni feki.... Ukitaka original lazima uwasiliane na programmers... Mfano kama mimi naweza kukuwekea Tapatalk original kwenye simu yako kwa shilingi 50000/= tu hii ni bei ndogo kwakuwa wewe ni member mwenzangu wa Jf.. Nikisha kuwekewa unaifungua na utakuta forums mbalimbali ikiwemo jamii forum, then utaingia forum uipendayo kwa kuingiza email na password... Hapo utafurahia mijadala mbalimbali na taarifa kwa ujumla...

Karibu mkuu ni shilingi 50000 tu epuka matapeli.. Kwa maelezo zaid njoo pm

Elf 50...halaf ww ndio unaita wenzio matapeli
 
Ingia play store kisha download, ukisha download search Forums "JamiiForums" ikija Fanya ku-FOLLOW kisha ingiza User name yako pamoja na Password unayotumia ku log in JF. Then you're done

Sent from my iPhone using Tapatalk
Daah! Mkuu asantee nimefanikiwa

Ubarikiwe sana

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom