Jinsi ya kutumia, screenshot kweny huawei ascend y300.

Chris41

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
626
406
Mwenye kufaham jinsi ya kutumia hii kitu. Mimi inanisumbua kichz guys. Help me
 
fungua notification panel alaf i slid kutoka kutoka kushoto kwend kulia hyo panel utaona ki image kama camera kiguse alaf urudi apa
 
Daaah thanks broo. NimewezA maana nlikua natafuta cpat
 
Samsung galaxy ace 3 msaada tafadhali.

Press and hold home key and power off button at the same time
1387453977802.jpg
 
Hebu nipe maujanja ya kutumia kwenye note 2

Njia ya kwanza kama nilivoelekeza apo juu sawa (yaani bonyeza home key+ power button)


Njia ya pili

Method 2:
1. Nenda MENU na chagua
SETTINGS.
2. Nenda MOTION.
3. Then slide mpaka“Hand Motion” site,
confirm “Palm swipe to Capture”
checkbox.

4. Now you
can capture screens by
moving your palm on the screen
from left to right or right to left. It
will capture screenshot at all
screen you are presently on. Now
go to Gallery app to see the
screenshots that you have
captured.


Kumove palm angalia picha hapa chini


1387691300750.jpg
 
njia ya kwanza kama nilivoelekeza apo juu sawa (yaani bonyeza home key+ power button)


njia ya pili

method 2:
1. Nenda menu na chagua
settings.
2. Nenda motion.
3. Then slide mpaka“hand motion” site,
confirm “palm swipe to capture”
checkbox.

4. Now you
can capture screens by
moving your palm on the screen
from left to right or right to left. It
will capture screenshot at all
screen you are presently on. Now
go to gallery app to see the
screenshots that you have
captured.


Kumove palm angalia picha hapa chini


View attachment 128116





tecno p5 ?????!!
 
Back
Top Bottom