Jinsi ya kutumia MB/Data kidogo katika mitandao ya kijamii, Instagram, Facebook n.k

MB 70, MB 100, MB 200, au MB 300 zinakutosha kwa siku?

Binafsi mimi hazinitoshi, kama na wewe hazikutoshi basi leo nitakuonyesha namna ya kutumia na kupunguza matumizi yako kwa siku. Kwa hali ya kawaida au mara nyingi watu wanatumia kiasi kikubwa cha Data kuperuzi katika mitandao ya kijamii. Hapa nitakuonyesha namna yakutumia MB chache katika Instagram na Facebook, pia katika mitandao mingine ya kijamii inaweza ikawa ni sawa. Tafadhali fuata hatua zifuatazo:-

Katika Instagram

Katika hali ya kawaida unapo ingia katika akaunti yako ya instagram, uwa kuna baadhi ya video ambazo zinakua zina play moja kwa moja(at the background) mfano kipo kipengele cha Search ataka hautakitumia lakini Picha na Video zitaplay moja kwa moja (automatically). Emu jaribu kufikiria ni picha na video ngapi zinazo postiwa kwa siku alafu unakuta una MB 70 alafu pia picha na video zote zifunguke!. Kiuhalisia haziwezi kutosha sio? Kama ndio basi haraka haraka fuata hatua hizi chache :-

  1. Fungua Instagram akaunti yako.
  2. Nenda katika profile yako.
  3. Juu upande wa kulia bonyeza alama ya vidoti vitatu.
  4. Tazama na ubonyeze sehemu ilioandikwa Cellular Data Use.
  5. Bonyeza/Washa sehemu iliyo andikwa Less Data Use.

Katika Facebook

Pia katika facebook unapo ingia uwa kuna videos ambazo uwa zinatabia ya kuplay moja kwa moja kwa mfano matangazo ya video atakama hauhitaji kutazama yataanza kuplay moja kwa moja. Video post zikiwa nyingi na matumizi ya MB yanakua makubwa. Fuata hatua hizi :-

  1. Ingia katika facebook yako.
  2. Juu upande wa kulia bonyeza alama ya vimistari vitatu.
  3. Nenda katika settings and privacy.
  4. Bonyeza Settings.
  5. Shuka chini na ubonyeze Media and Contacts.
  6. Tafuta na bonyeza Autoplay.
  7. Chagua Never autoplay videos.
  8. Hapo utakuwa umemaliza mchezo.

Hitimisho

Kama kweli utafanya hivyo basi utagundua ni kweli kabisa utakuwa umeweza kuokoa MB zako kwa kiasi kikubwa sana.

MB 70, MB 100, MB 200 au MB 300 zinatosha? Najua sasa hivi jibu lako ni NDIYO!

Kama haujaelewa au bado unapata shida basi unaweza kufatilia maelekezo kwa picha bonyeza link itakupeleka https://tztechforums.com/community/...a-mitandao-ya-kijamii-instagram-facebook-n-k/
Vipi kwa Upande wa Tweet mkuu
 
MB 70, MB 100, MB 200, au MB 300 zinakutosha kwa siku?

Binafsi mimi hazinitoshi, kama na wewe hazikutoshi basi leo nitakuonyesha namna ya kutumia na kupunguza matumizi yako kwa siku. Kwa hali ya kawaida au mara nyingi watu wanatumia kiasi kikubwa cha Data kuperuzi katika mitandao ya kijamii. Hapa nitakuonyesha namna yakutumia MB chache katika Instagram na Facebook, pia katika mitandao mingine ya kijamii inaweza ikawa ni sawa. Tafadhali fuata hatua zifuatazo:-

Katika Instagram

Katika hali ya kawaida unapo ingia katika akaunti yako ya instagram, uwa kuna baadhi ya video ambazo zinakua zina play moja kwa moja(at the background) mfano kipo kipengele cha Search ataka hautakitumia lakini Picha na Video zitaplay moja kwa moja (automatically). Emu jaribu kufikiria ni picha na video ngapi zinazo postiwa kwa siku alafu unakuta una MB 70 alafu pia picha na video zote zifunguke!. Kiuhalisia haziwezi kutosha sio? Kama ndio basi haraka haraka fuata hatua hizi chache :-

  1. Fungua Instagram akaunti yako.
  2. Nenda katika profile yako.
  3. Juu upande wa kulia bonyeza alama ya vidoti vitatu.
  4. Tazama na ubonyeze sehemu ilioandikwa Cellular Data Use.
  5. Bonyeza/Washa sehemu iliyo andikwa Less Data Use.

Katika Facebook

Pia katika facebook unapo ingia uwa kuna videos ambazo uwa zinatabia ya kuplay moja kwa moja kwa mfano matangazo ya video atakama hauhitaji kutazama yataanza kuplay moja kwa moja. Video post zikiwa nyingi na matumizi ya MB yanakua makubwa. Fuata hatua hizi :-

  1. Ingia katika facebook yako.
  2. Juu upande wa kulia bonyeza alama ya vimistari vitatu.
  3. Nenda katika settings and privacy.
  4. Bonyeza Settings.
  5. Shuka chini na ubonyeze Media and Contacts.
  6. Tafuta na bonyeza Autoplay.
  7. Chagua Never autoplay videos.
  8. Hapo utakuwa umemaliza mchezo.

Hitimisho

Kama kweli utafanya hivyo basi utagundua ni kweli kabisa utakuwa umeweza kuokoa MB zako kwa kiasi kikubwa sana.

MB 70, MB 100, MB 200 au MB 300 zinatosha? Najua sasa hivi jibu lako ni NDIYO!

Kama haujaelewa au bado unapata shida basi unaweza kufatilia maelekezo kwa picha bonyeza link itakupeleka Jinsi ya kutumia MB/Data kidogo katika mitandao ya kijamii, ...
Mbona tofauti na ulivofafanua wewe
20200814_080535.jpg
 
browser za opera mini ama uc mini ama mini nyengine kama zipo zenyewe zinatumia mb kidogo kuingia internet. video hazita autoplay utasoma tu, hii itakusaidia kusave mb. kuingia instagram na opera mini fungua opera yako kisha type pale juu instagram.com, itakuja sehemu ya kulogin na utaweza tumia instagram kwa browser
Lakini pia inawezekana kutumia chrome browser baada ya ku login ita kupa option ya create shortcut ya Instagram ambayo itakuwa kama app ya insta...ila ni web.
 
nimetaja hizo mini browser badala ya full browser sababu mini browser zinasave mb, akitumia chrome still mb zitaenda nyingi.
 
Nilimaanisha baada ya ku login atapata option ya ku create shortcut ya IG...na itakuwa kama app ila haitokuwa na auto play...

Si kwamba kila muda atatumia chrome kuingia IG

Mfano
IMG_20200816_161436.jpg
 
Nilimaanisha baada ya ku login atapata option ya ku create shortcut ya IG...na itakuwa kama app ila haitokuwa na auto play...

Si kwamba kila muda atatumia chrome kuingia IG

MfanoView attachment 1539184
ndio mkuu nimeelewa, ninachoomanisha lengo la kutunza mb halitatimia akitumia chrome, sababu picha, maneno na script nyengine zitakula mb kama ilivyokuwa inakula app. kuna kipindi opera hadi video walikuwa wanazi compress.

japo ni shortcut na ukiingia inakuwa kama app ila chini kwa chini bado itakuwa inatumia engine ya chrome, hio ndio nature ya PWA.
 
Ooh okay...
 
Back
Top Bottom