Jinsi ya kutumia internet bure Android

hakikisha una line ya airtel then bonyeza
*149*99#
then endelea........
 
Mm nakushauri ukakae karibu na hoteri ya kifahari, utapata internet ya bure.

hahaha umeniacha hoi.. ila ni kweli. kama yupo ARusha aende karibu na NEW ARUSHA HOTEL pale wifi ni bure na haina security
 
Andika SMS hii "mwaitakotako mwaipumbuje" tuma kwenda 15550 watakupa internet ya bure kwa miez 6 mkuu
 
Back
Top Bottom