Jinsi ya kutumia HDMI cable kwenye laptop

kateka

JF-Expert Member
Nov 30, 2012
546
319
Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika, laptop yangu ina HDMI Port lakini nikiunganisha na receiver haioneshi kitu. je kuna software kwa ajili ya kutumia hii cable? msaada plz
 
Kama hujui kitu kinachoongelewa bora ukapga kimya tu, mwenzetu anataka atumie laptop yake multipurposely...kuangalia tv pia kwa kutunia hdmi cable
 
Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika, laptop yangu ina HDMI Port lakini nikiunganisha na receiver haioneshi kitu. je kuna software kwa ajili ya kutumia hii cable? msaada plz

Mkuu, nadhani maelezo kidogo yamechanganya watu. Unaposema unataka connect laptop yako yenye HDMI kwenye receiver una maanisha AVR au?, au unataka connect moja kwa moja na TV yako via HDMI?.. Kama ni AVR make sure ina uwezo wa kuprocess sound itakayobebwa na HDMI cable then another cable itakuwa connected from AVR to TV for Video.. Kama haina processing capability hiyo the atleast iweze ku-allow pass through of HDMI sounds from the laptop to TV of which ni kama tu kuchukua cable yako ya HDMI iliyokuwa connected kwenye laptop ukaconnect direct kwenye tv na sound ikatoka kwenye tv moja kwa moja
 
Usiunge kwenye receiver connect laptop na TV straight away reciever haihusiki hapa.
 
Mkuu, nadhani maelezo kidogo yamechanganya watu. Unaposema unataka connect laptop yako yenye HDMI kwenye receiver una maanisha AVR au?, au unataka connect moja kwa moja na TV yako via HDMI?.. Kama ni AVR make sure ina uwezo wa kuprocess sound itakayobebwa na HDMI cable then another cable itakuwa connected from AVR to TV for Video.. Kama haina processing capability hiyo the atleast iweze ku-allow pass through of HDMI sounds from the laptop to TV of which ni kama tu kuchukua cable yako ya HDMI iliyokuwa connected kwenye laptop ukaconnect direct kwenye tv na sound ikatoka kwenye tv moja kwa moja

swali langu ni kuwa laptop yangu ina HDMI port, je alternatively naweza kuitumia kama tv kwa kutumia RECEIVER direct kwenda kwenye laptop? kwa maelezo yako naona umejibu swali langu kuwa haiwezekeni kutoka kwene receiver to laptop
 
Hapana hauwezi kutumia HDMI ya laptop yako kama unavyodhani. HDMI port ya laptop na receiver zote zinatoa Output signal kwa hiyo ni dependent kwenye TV/monitors. ila kwa baadae inaweza ikaja wezekana kwasababu teknolojia ya HDMI bado inakua sana.
 
Mkuu h120 uko sahihi kabisa. HDMI ni kwa ajili ya picha, sauti na currently network.. Na HDMI port ya laptop its not an input rather an output port, which means it sends signals from the laptop to the Monitor/tv... Hapo anchohitaji ni kununua tv yenye uwezo wa kusupport HDMI au monitor yenye HDMI capability
 
swali langu ni kuwa laptop yangu ina HDMI port, je alternatively naweza kuitumia kama tv kwa kutumia RECEIVER direct kwenda kwenye laptop? kwa maelezo yako naona umejibu swali langu kuwa haiwezekeni kutoka kwene receiver to laptop

Kateka@, hiyo kitu haiwezekani mkuu maana HDMI port ya laptop ni output port.. Mwanzo nilidhani unazungumzia Receiver kwa maana ya Audio/video Recever (AVR)
 
ahsante mkuu kwa maelezo mazuri yenye ujuzi ndani yake, nimekupata.
 
Hapana hauwezi kutumia HDMI ya laptop yako kama unavyodhani. HDMI port ya laptop na receiver zote zinatoa Output signal kwa hiyo ni dependent kwenye TV/monitors. ila kwa baadae inaweza ikaja wezekana kwasababu teknolojia ya HDMI bado inakua sana.

Nimekupata mkuu, umechambua vzur sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom