Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika, laptop yangu ina HDMI Port lakini nikiunganisha na receiver haioneshi kitu. je kuna software kwa ajili ya kutumia hii cable? msaada plz

Mkuu, nadhani maelezo kidogo yamechanganya watu. Unaposema unataka connect laptop yako yenye HDMI kwenye receiver una maanisha AVR au?, au unataka connect moja kwa moja na TV yako via HDMI?.. Kama ni AVR make sure ina uwezo wa kuprocess sound itakayobebwa na HDMI cable then another cable itakuwa connected from AVR to TV for Video.. Kama haina processing capability hiyo the atleast iweze ku-allow pass through of HDMI sounds from the laptop to TV of which ni kama tu kuchukua cable yako ya HDMI iliyokuwa connected kwenye laptop ukaconnect direct kwenye tv na sound ikatoka kwenye tv moja kwa moja
na receiver? kwanini uunganishe na receiver?
unganisha na tv
swali langu ni kuwa laptop yangu ina HDMI port, je alternatively naweza kuitumia kama tv kwa kutumia RECEIVER direct kwenda kwenye laptop? kwa maelezo yako naona umejibu swali langu kuwa haiwezekeni kutoka kwene receiver to laptop
Hapana hauwezi kutumia HDMI ya laptop yako kama unavyodhani. HDMI port ya laptop na receiver zote zinatoa Output signal kwa hiyo ni dependent kwenye TV/monitors. ila kwa baadae inaweza ikaja wezekana kwasababu teknolojia ya HDMI bado inakua sana.

Kateka@, hiyo kitu haiwezekani mkuu maana HDMI port ya laptop ni output port.. Mwanzo nilidhani unazungumzia Receiver kwa maana ya Audio/video Recever (AVR)