racka98
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,041
- 1,530
Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk.
Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na Google Lens app.
Kwa watumiaji wa iPhones na iPad (iOS/iPadOS) wanaweza ipata kupitia Google Lens app au Google Photos app.
Nitaonesha jinsi ya kutumia hii feature kwa kupitia Google Photos app kwasababu ndio njia rahisi na inapatikana kwa karibia kila simu.
Kwa Google Lens app na Camera app integration hii haipo kwenye simu zote. App ya Google Lens inachagua simu (simu yako inatakiwa kuwa na uwezo mzuri) na camera integration ni kwa baadhi ya simu kutoka company kma Google, Nokia, Xiaomi, Motorola na baadhi. Kama simu yako ina support app ya Google Lens ni vyema ukatumia hyo sababu unakuwezesha kupiga picha moja kwa kwa moja kupitia app yenyewe. Link hii hapa
1. Unaweza tumia kutambua aina ya matunda au miti mbali mbali.
Ukishadownload app ya Google photos, fungua picha yako husiku kisha bonyeza hapa
Ukibonyeza hapa ita tafuta mtandaoni na kurudisha majibu kma ifuatavyo. Hapo unaweza scroll kuangalia matokeo
Vile vile kma unavitua zaidi ya kimoja kwenye picha unaweza bonyeza eneo lake na hicho kidot cha blue kitahamia sehem uliyobonyeza na kukupa majibu ya kitu hcho.
2. Ku copy maneno kutoka kwenye picha ya document au maandishi yoyote.
Utafungua picha yako kma nilivyoelekeza hapo juu na kubonyeza hyo button ya Google Lens na utapata majibu. Safari hii itakupa uwezo wa ku copy maneno ya kwenye picha hyo pia
Hapo uta weza copy hayo maneno na kuyahamishia sehemu nyingine unayotaka
3. Ku translate lugha moja kwenda nyingine
Kama kawaida, utafanya step zote kama ilivyoainishwa hapo juu ila sasa utabonyeza sehemu ya chini kushoto kma ilivyoneshwa kwenye picha hapo chini
Kisha utabonyeza button ya kwanza kabisa na itakupa tafsiri ya maandishi yaliyopo kwenye picha kwa kuweka tafsiri juu ya hayo maneno kma inavyoonekana kwenye picha hapo chii. Kumbuka pia unaweza copy hayo maandishi kma hapo juu bila shida yoyote
Hivyo ni baadhi ya vitu tu ambavyo Google Lens inaweza kufanya. Option zingine unaweza ona hapo kwenye number 3. Unaweza tumia kujua bidhaa flani kutumia picha tu na itakuonesha wapi pa kununua, unaweza tumia kutambua aina ya vyakula, unaweza tumia kutambia kma kuna restaurant zozote karibu yako zinazouza chakula kilichopo kwneye picha yako na mengine mengi.
Wewe kama mdau wa teknolojia na maaendeleo ni muhimu kutambua vitu kma hivi vilovyopo kwenye simu zetu.
Nitaendelea kuandika kuhusu vitu vingine kma hivi kwa manufaa ya wote tuweze kujua uwezo wa hizi simu zetu.
Ahsanteni!!