Jinsi ya kutumia ajira portal msaada unaitajika

Je na wenye asilimia kuanzia 90% ina maana wapo kwenye nafasi ya kuitwa kwenye usaili
Ulifikaje asilimia 90 mkuu mana wengine tupo 55 sijui nimekosea wapi au sijui nn ambacho cjaweka mana section zote nimejaza.
 
Maana yake wamepokea barua yako, fuatilia tu page yao unaweza itwa kwenye usahili
 
Back
Top Bottom