Peter Majaliwa
Senior Member
- Jun 16, 2017
- 161
- 30
Habari wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu mim ni mhitimu wa kidato cha nne nimepanga kisomea kozi ya clinical officer msaada wenu tafadhali
subiri NACTE watangaze kufungua udahiri..Habari wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu mim ni mhitimu wa kidato cha nne nimepanga kisomea kozi ya clinical officer msaada wenu tafadhali
itakuwa kama mwezi wa ngap hivi?subiri NACTE watangaze kufungua udahiri..
Kama mwezi wa sita na it lasts for 3 months, hivyo tulia, bado sana. Mpaka form five wachaguliwe, then vinafuata vyuo!itakuwa kama mwezi wa ngap hivi?
naomba mdokezo hatua wanazofuata kutuma maombi make vyuo viko mbali sana kwa hapa nilipo nataka nikianza kutuma maombi nisisumbukeKama mwezi wa sita na it lasts for 3 months, hivyo tulia, bado sana. Mpaka form five wachaguliwe, then vinafuata vyuo!
Vya serikali unaomba online, vya binafsi unaomba kwa kuingia kwenye website zao na utapata maelekezo. Vingine unaomba online, vingine una download application forms unajaza unatuma posta au kwa email kama attachment baada ya ku scan filled in forms... of course na application fee ya 30,000 tsh private na 10,000 tsh for gov.naomba mdokezo hatua wanazofuata kutuma maombi make vyuo viko mbali sana kwa hapa nilipo nataka nikianza kutuma maombi nisisumbuke
Umefanya vyema kumjibu kiungwana CO Mtarajiwa ila next time ajifunze kutumia internet.UPDATES NI KWAMBA KUNA DIRISHA DOGO LA USAJILI MWEZI MACHI 2019(March Intake) ILA NI KWA VYUO VYA BINAFSI PEKEE.VYUO VYA serikali ni mpaka May au June 2019Vya serikali unaomba online, vya binafsi unaomba kwa kuingia kwenye website zao na utapata maelekezo. Vingine unaomba online, vingine una download application forms unajaza unatuma posta au kwa email kama attachment baada ya ku scan filled in forms... of course na application fee ya 30,000 tsh private na 10,000 tsh for gov.
baada ya muda gani wanatoa majina ya waliyo chaguliwa kuingia chuoVya serikali unaomba online, vya binafsi unaomba kwa kuingia kwenye website zao na utapata maelekezo. Vingine unaomba online, vingine una download application forms unajaza unatuma posta au kwa email kama attachment baada ya ku scan filled in forms... of course na application fee ya 30,000 tsh private na 10,000 tsh for gov.
asante sana kwa nyongezaUmefanya vyema kumjibu kiungwana CO Mtarajiwa ila next time ajifunze kutumia internet.UPDATES NI KWAMBA KUNA DIRISHA DOGO LA USAJILI MWEZI MACHI 2019(March Intake) ILA NI KWA VYUO VYA BINAFSI PEKEE.VYUO VYA serikali ni mpaka May au June 2019
Sent using Jamii Forums mobile app