Jinsi ya kutuma maombi chuo cha afya kozi ya clinical officer

Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
159
225
Habari wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu mim ni mhitimu wa kidato cha nne nimepanga kisomea kozi ya clinical officer msaada wenu tafadhali
 
Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
159
225
Kama mwezi wa sita na it lasts for 3 months, hivyo tulia, bado sana. Mpaka form five wachaguliwe, then vinafuata vyuo!
naomba mdokezo hatua wanazofuata kutuma maombi make vyuo viko mbali sana kwa hapa nilipo nataka nikianza kutuma maombi nisisumbuke
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,939
2,000
naomba mdokezo hatua wanazofuata kutuma maombi make vyuo viko mbali sana kwa hapa nilipo nataka nikianza kutuma maombi nisisumbuke
Vya serikali unaomba online, vya binafsi unaomba kwa kuingia kwenye website zao na utapata maelekezo. Vingine unaomba online, vingine una download application forms unajaza unatuma posta au kwa email kama attachment baada ya ku scan filled in forms... of course na application fee ya 30,000 tsh private na 10,000 tsh for gov.
 
Balozi Mbumbumbu

JF-Expert Member
May 29, 2016
406
500
Vya serikali unaomba online, vya binafsi unaomba kwa kuingia kwenye website zao na utapata maelekezo. Vingine unaomba online, vingine una download application forms unajaza unatuma posta au kwa email kama attachment baada ya ku scan filled in forms... of course na application fee ya 30,000 tsh private na 10,000 tsh for gov.
Umefanya vyema kumjibu kiungwana CO Mtarajiwa ila next time ajifunze kutumia internet.UPDATES NI KWAMBA KUNA DIRISHA DOGO LA USAJILI MWEZI MACHI 2019(March Intake) ILA NI KWA VYUO VYA BINAFSI PEKEE.VYUO VYA serikali ni mpaka May au June 2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
159
225
Vya serikali unaomba online, vya binafsi unaomba kwa kuingia kwenye website zao na utapata maelekezo. Vingine unaomba online, vingine una download application forms unajaza unatuma posta au kwa email kama attachment baada ya ku scan filled in forms... of course na application fee ya 30,000 tsh private na 10,000 tsh for gov.
baada ya muda gani wanatoa majina ya waliyo chaguliwa kuingia chuo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom