Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

ndio mana tunaambiwa tulinde silver chird zetu kwa gharama yoyote, japo chances za wao kuingia ni ndogo sana ila wanaweza ukiwaruhusu...by the way ni nice experience...nimeshafika hadi egypy kwenye pyramids..kifupi unaweza fika mahali popote pale, nimefika sehemu nyingi sana, ila siku moja nitakuja kuweka thread yaliyonikuta nilienda sehem ambayo sikutakiwa niende as a soul ..hii dunia ina mambo mengi sana..

HAIL LUCIFER !!!
ebu naomba mode ya namna unavyo meditate maaan mm naishiaga kupaa paa tu
 
Wakuu Mimi nataka nijaribu hii kitu kwa kutumia benaural beats, naombeni ushauri nikakuwa sahihi au hiyo beat itaushtua mwili nikishatoka?
 
ndio mana tunaambiwa tulinde silver chird zetu kwa gharama yoyote, japo chances za wao kuingia ni ndogo sana ila wanaweza ukiwaruhusu...by the way ni nice experience...nimeshafika hadi egypy kwenye pyramids..kifupi unaweza fika mahali popote pale, nimefika sehemu nyingi sana, ila siku moja nitakuja kuweka thread yaliyonikuta nilienda sehem ambayo sikutakiwa niende as a soul ..hii dunia ina mambo mengi sana..

HAIL LUCIFER !!!
Nyinyi ndio majini sasa
 
tumia beats kwa ajiri la jicho la tatu kwanza obe ni stage kubwa sana
Sawa, mkuu naomba unisaidie hapa-, Mimi huwa nikilala chali ndio nakuwa comfortable Sana kwa kumeditate, Sasa ninachoogopa nitawezaje kutofautisha kuwa hii inayotaka kunitokea ni Open The Third Eye niifate na hii ni Astra Projection niikwepe wakati nimelala chali?, yaani nilishajaribu kwa kutumia beats nikaanza ku_vibrate nikajiona naanza kuelea elea hivi kwenda juu Nikajikurupua nilijuwa kuwa nilitaka kuingia kwenye Astra na wakati Mimi lengo langu ni Third Eye kwanza na sio Astral.
Nitumie mbinu ipi mkuu Waterbender ili niweze ku open third eye nikiwa nimelala chali kwa kutumia beats? Maana nikikaa nakuwa sipo comfortable
Nisaidieni jamani
 
Ahsante Kwa Kuchangia Mkuu Jibu Langu Litoe Hapa Kwenye Haya Maswali!!

1: je, kipindi hicho ulikuwa unajua kusoma?

2: kipindi hicho ulikuwa unawaza upate wapi mwanamke?

3: kipindi hicho ulikuwa unamaskitiko moyoni ya kukosa pesa?

mengi na zaidi ya hayo hukuwa nayo kipindi hicho msongo wa mawazo....

mawazo ndio hupelekea kudumaza subconscious mind na kushindwa kukupa utambuzi Sahihi fanya zoezi hili mkuu hali hiyo itarudi na kwa haraka maana una experience nayo...

umesema unacheza na mbwa sie wengine huwa tunawatisha paka na kuwakimbiza just kama mchezo vile....

"Rakims"
Hivi hii elimu yako inaweza ikawa na majibu ya kwanini mbwa huwa wanabweka "wuuuuuuuuuuuu" wakati wa usiku?
 
Sawa, mkuu naomba unisaidie hapa-, Mimi huwa nikilala chali ndio nakuwa comfortable Sana kwa kumeditate, Sasa ninachoogopa nitawezaje kutofautisha kuwa hii inayotaka kunitokea ni Open The Third Eye niifate na hii ni Astra Projection niikwepe wakati nimelala chali?, yaani nilishajaribu kwa kutumia beats nikaanza ku_vibrate nikajiona naanza kuelea elea hivi kwenda juu Nikajikurupua nilijuwa kuwa nilitaka kuingia kwenye Astra na wakati Mimi lengo langu ni Third Eye kwanza na sio Astral.
Nitumie mbinu ipi mkuu Waterbender ili niweze ku open third eye nikiwa nimelala chali kwa kutumia beats? Maana nikikaa nakuwa sipo comfortable
Nisaidieni jamani
endelea ivo ivo. na watu tupo tofauti we fanya meditaion tu watu hua wanakutana na hali tofauti tofauti kama kupaa ni kaaaida
 
Hivi hii elimu yako inaweza ikawa na majibu ya kwanini mbwa huwa wanabweka "wuuuuuuuuuuuu" wakati wa usiku?
[/QUOT
Hivi hii elimu yako inaweza ikawa na majibu ya kwanini mbwa huwa wanabweka "wuuuuuuuuuuuu" wakati wa usiku?
wanyama wengi wanauwezo mkubwa wa kiona na kusense spirits majin na wanga.sasa moja ya faida ya jicho la tatu iyo
 
endelea ivo ivo. na watu tupo tofauti we fanya meditaion tu watu hua wanakutana na hali tofauti tofauti kama kupaa ni kaaaida
Sawa mkuu. Je, nikipaa kwa njia hiyo ya third eye nitarudishwa automatic au mpaka nijirudishe mwenyewe kwenye mwili wangu? Na inachukua muda gani kurudi? nisije nikagongewa mlango
 
Sawa mkuu. Je, nikipaa kwa njia hiyo ya third eye nitarudishwa automatic au mpaka nijirudishe mwenyewe kwenye mwili wangu? Na inachukua muda gani kurudi? nisije nikagongewa mlango
ahahah sasa ww unaleta utan
hamna kitu kinaitwa kupaa kwa njia ya third eye
pili sio rahis kama unavo fikiria
ingia mtandaoni soma chakras zote 7 au kundalin awakening kitu cha kunote OBE nimatokeo ya third eye pia kuna michezo kama lucid dreams auras. sasa ww cha kifanya fanya meditaion kawaida kaa kimya ukiwa umetulia tuli kadri uwezavyo mfano first week fumba macho endelea kifikiria mawazo yako na mpango yako ya maisha kichwan najua utalala tu😆
wiki inayo fuata stop iyo monkey mind usikirie chochote tulia vuta punzi timam
anza kumanipulate energy focus on you thirt eye region but not focus too critical just like be aware of it relax dont use any physical trick the more you relax the more energy flow sasa apa unaweza tumia beats kuna ile 432 HZ ipo youtube itaona mwenye mambo yana jipa feel the spece within your self by trying to separate body and soul
kwnye huu uzi ana blog inaitwa rakims spiritual kasome
 
ahahah sasa ww unaleta utan
hamna kitu kinaitwa kupaa kwa njia ya third eye
pili sio rahis kama unavo fikiria
ingia mtandaoni soma chakras zote 7 au kundalin awakening kitu cha kunote OBE nimatokeo ya third eye pia kuna michezo kama lucid dreams auras. sasa ww cha kifanya fanya meditaion kawaida kaa kimya ukiwa umetulia tuli kadri uwezavyo mfano first week fumba macho endelea kifikiria mawazo yako na mpango yako ya maisha kichwan najua utalala tu
wiki inayo fuata stop iyo monkey mind usikirie chochote tulia vuta punzi timam
anza kumanipulate energy focus on you thirt eye region but not focus too critical just like be aware of it relax dont use any physical trick the more you relax the more energy flow sasa apa unaweza tumia beats kuna ile 432 HZ ipo youtube itaona mwenye mambo yana jipa feel the spece within your self by trying to separate body and soul
kwnye huu uzi ana blog inaitwa rakims spiritual kasome
Asante Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Mkuu Rakims naomba kuuliza maswali mawili nimeyasikia yananiletea utata kidogo.
1.) Je, Ni kweli mtu akitoka Nje ya mwili inaweza ikatokea bahati mbaya pepo au roho nyingine inaweza ikaingia kwenye mwili wake aliouacha kiasi kwamba ikamletea ugumu yeye kurudi ndani ya mwili wake?

2.) Je, Mtu akitoka Nje ya mwili kwa msaada wa binaural beats, Ile beat itaendelea kutoa sauti kwa mwili uliobaki haiwezi kuushtua mwili wake na kusababisha mwili kushtuka Hari yakua roho haipo maana tunasikia kuwa mwili ukishtuliwa ni hatari.

Msaada wako Mkuu
Habari mkuu,
Jinn possession haitokei kwa sababu ya mtu kutoka nje ya mwili hadi mtu unaweza kutoka nje ya mwili maana yake vibration ya mwili wako ulioacha ni ngumu kuhisi hata kama mmbu kakung'ata walioexperience body paralyzed wanajua hilo mkuu. Hakuna kitu kinaweza kuingia kwenye mwili wako kutoka ulimwengu wa kiroho ukiwa nje ya mwili haina tofauti na kulala kisha ukaota ndoto

Mbili inategemea na beats aliyotumia mkuu zingine hazina viwango hivyo hupelekea maumivu ya kichwa

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
105 Reactions
Reply
Back
Top Bottom