Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,977
- 63,991
Ah mzee mi hapo hapana bwana weweUtani gani wakati huo unga wa lile kokwa la parachichi wamasai wanauuza sana tu unakoroga kijiko kimoja cha chai na maziwa fresh kunywa Mara mbili kwa wiki utakuja kunishukuru badae