Jinsi ya kutengeneza Tomato sauce

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Yafuatayo Ndiyo mahitaji ya kutengeneza nyanya chanzo.
1. Nyanya kilo 1.
2. Vitunguu maji viwili.
3. Vinegar vijiko 3 vya chai.
4. Sukari vijiko 2 vya chai.
5. Chumvi kijiko Kimoja cha chai
6. Maji ya moto Kikombe Kimoja cha chai.
7. Mafuta ya Kula vijiko 7 ya vyakula.

Haya Ndiyo mahitaji ya kutaka kutengeneza nyanya souce, Hata hivyo Kama Unataka kutengeneza Zaidi Ya Hapo unatakiwa kuongeza uwiano wa mahitaji Hayo.

JINSI YA KUTENGENEZA nyanya SOURCE.

HATUA YA KWANZA.
a) Menya Nyanya Rangi vitunguu kisha vikate vipande vidogo vidogo.

b) Tumia Brenda Kusaga mchanganyiko Wako.

c) Anza kuweka malighafi namba 1 Hadi namba 4 katika brenda Yako kutokana Rangi uwiano (uwiano) uliopewa Hapo Juu. Saga to dakika Kadhaa Hadi Uone imetokea rojo Laini.

HATUA YA PILI.
a) Tumia sufuria yenye Nafasi kupika Mseto Huu.

b) Weka sufuria Yako jikoni tia mafuta ya Kula acha yachemke kisha mwagia Mseto Wako Rangi kisha uanze kukoroga to dakika 30 kuelekea Upande Mmoja huku ukichemka.

c) Baada ya Hapo epua Mseto Huo utakuwa Tayari imeshakuwa nyanya funga Vizuri Rangi kisha Peleka Sokoni.

Mpaka kufikia Hapo Wewe Tajiri, Rangi mafanikio makubwa ambayo yatakuwa Upande Wako endapo utakuwa umeamua kuondokana Rangi umaskini to Ushauri wa Njia ya kutengeneza Vitu mbalimbali Kwa Ajili ya kuuza.
c769e32ac2a5386dd68706a490247222.jpg

Kama mtakuwa tayari kupata ujuzi mbali mbali Ninamna gani waweza kujitajirisha kwa

Kutengeneza bidhaa mbali mbali nitasoma comment zenu nanitakuwa nikitoa darasa huru asante.
 
Na hiyo chupa parking unapata wapi?
 
Huenda Chibudee amefanya copy and paste tu,
Computer yenyewe inakosea sembuse mm mkuu

Then mm hapa natoa darasa tu namna ya kupata ujuzi swala la fungashio

Ilo nijuuyako mwenyewe

Wakuu

Kuna company kibao zinatengeneza chupa tupu

Waweza enda ukaweka oder yaidadi ya chupa unazotaka

Wakakutengenezea nekukuekea logo yako
 
sasa pale kwenye neno ''RANGI''
ulikusudia kuandika nini? Manake ulilirudia mara mbili
 
Sawa Chibudee mwenyewe neno rangi lilinichanganya sana.
Sasa toka manufacturing date hadi expire date hapo ndo tunajuaje muda wa kudumu sokoni mkuu?
Binafsi ntalifanyia kazi kwa ajili ya home kwanza kwa kuanzia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom