Mwili mzimaHapo unalenga nini na nini?
Mkuu umeanza gym workout? Au bado una komaa na home workout?Yote.
Mabega.
Miguu.
Mgongo.
Mikono.
Kifua.
Tumbo.
yaani nahitaji trainer anielekeze nijae harakaKiukweli sijui, unahitaji mtu wa kukumotivate?
Mkuu umepata dem mzungu?yaani nahitaji trainer anielekeze nijae haraka
Do plankPushapu nzur hzo mm nataka za kukata tumbo
Wewe unataka kutengeneza sijui ma- six packs upendwe na mademu..mi sipo huko. Mi nazungumzia kuwa physical fit. Watu wa gym wengi juu ni wakubwa chini wadogo. Mi sipo huko. Mi nipo kiafya zaidiSidhani.
Hebu mfano unataka kutengeneza tear drop kwenye paja push ups na jogging zinakupaje tear drop?
Kwani ni lazima kua juu mkubwa chini mdogo?Wewe unataka kutengeneza sijui ma- six packs upendwe na mademu..mi sipo huko. Mi nazungumzia kuwa physical fit. Watu wa gym wengi juu ni wakubwa chini wadogo. Mi sipo huko. Mi nipo kiafya zaidi
Avatar yako inajieleza mkuuKwani ni lazima kua juu mkubwa chini mdogo?
Haupo huko ila umesema ni mazoezi tosha kwa mwili mzima. Hata mimi sipo huko kwenye kufanya mazoezi ili nipendwe.
Au we ndiyo zako?
Mwili wa chini body receptors zake zipo slow ukilinganisha na mwili wa juu. Mwili wa chini inawezekana ukawa ripped kuliko hata kujaa, wakati mwili wa juu unajaa fasta kuliko kuchana.Avatar yako inajieleza mkuu