Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Kwakua umesema una mwili mwembamba kula sana vyakula vya protini, kunywa maji mengi na pumzika.

Nilivyoandika light weight nilifikiri unaingia gym. Light weight inamaanisha utumie uzito mdogo katika mazoezi yako. Umesema unataka kuongeza mwili kwahiyo unataka kuongeza mwili kwa mazoezi gani?
 
Profile ulioweka mbaya sana. Ndio wewe huyo? Mbona hujajazia sasa
 
Mazoezi yamechukua sehemu kubwa ya Maisha yangu, siwezi kuishi bila kufanya Mazoezi
 
Back
Top Bottom