Wiu
Member
- Jul 27, 2018
- 97
- 102
Mkuu mimi nina urefu wa futi 7, kilo 85.Kajijua kama kazingua ndiyo maana hajajibu tena.
Nimejaribu sana mazoezi naona naishia njiani.
Nitajaribu tena nione naishia wapi
Mkuu mimi nina urefu wa futi 7, kilo 85.Kajijua kama kazingua ndiyo maana hajajibu tena.
Ok....ile wanasema ya kutengeneza shape ni zoezi gani hilo?Squat kwa jibu la jumla ni kwa ajili ya kutrain miguu ili kuipa nguvu na muonekano anaotaka mhusika.
Kwa jibu moja moja kuna squats kwa ajili ya mapaja, vigimbi, hamstrings, mguu wote
Nakubaliana na wewe kwenye balance na stamina. Ila kama magoti yanatoa huo mlio dawa siyo squats nahisi hiyo inamaanisha uroto hakuna.Balance na stamina za magoti. Au sio Castr ?
Kuna watu wana magoti yanalia kacha kacha kabisa nadhani kuna upungufu wa kitu humo.. Squat inasaidia sana
Mkuu wakati namaliza.form 4 2009 nilikuwa na 191cms, hapo nna 18yrs old. I am so tall. Nilipenda mazoezi ila mengi yakawa mambo!7 ft bruv be a beast aisee.
Hua unaishia njiani kwanini boss?
Uroto ndio uboho?Nakubaliana na wewe kwenye balance na stamina. Ila kama magoti yanatoa huo mlio dawa siyo squats nahisi hiyo inamaanisha uroto hakuna.
Muhimu sana hii kitu binafsi baada ya zoezi nilikua nalala chali /kifudifudi kisha mamsapu anatembea juu yangu kuanzia vidole vya mkono mpaka kwenye kwato. Mifupa na joint zote zinanyooka kisha unaunyoosha msuli wa ta.ko umemaliza kazi.
Huna lolote wewe ni inye ndembe ndembe tu.bang kula sana kulima kwa wing kumwaga zege yaan atakae jchanganya naua
Inasaidia nini mkuu?Unakua umeganda huku umeunyoosha mwili
📌Napenda mazoezi lakini nakosa consistency
Kaa chini huku ukiwa umenyoosha miguu yako, kisha chukua mguu wako wa kulia upitishe juu ya mguu wako wa kushoto .Ukunje mguuwako wa kulia kama lile pozi la nne ila mguu uwe umesimama wima.Huo wa tako unanyooshwaje mkuu?
weka ya six part maana hapa kitambi kinataka kunijia wakati nadaiwa wataona nawazarau kuota kitambi wakati wananidai