Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

aiseeh hapa nlipo mwili wote umechoka,,, leo nlienda hivi

1, push up - round 5, kila round 1 push up 20

2, trycept - round 5, kila round try 20

3, sqwashi - round 5, kila skwash round 20

4, kukata tumbo - round 5, kila round nimeenda 20,


vp hiyo mkuu kwa ujumla nimetumia kama dakika 45 kufinish
Ni poa hii work out.

Push ups itafocus kifua na triceps.

Triceps umefocus kwenye mkono.

Squats miguu.

Yaani umepiga zoezi limelenga kila sehemu ya mwili.

Kudos
 
Sijawahi kufanya. Hua nafata hayo maelekezo yako nikifanya sasa nauuumia kesho yake hadi nakua kama naumwa
Katika kila uzi nilikua naonyesha beginner aanzeje, ajipe mapumziko kati ya zoezi moja na jingine kwa muda gani na nilionyesha mazoezi ambayo beginner anaweza kuanza nayo kabla hajajumuisha mazoezi yote.

Mfano katika uzi huu nilionyesha push ups ambazo beginner hazimfai hapa mwanzo..

Dawa ni kwenda slow na kuongeza vitu kadri muda unavyoenda. Sikuahidi kua kesho utaweza kujikuna mgongoni ila nakuahidi maumivu yatakua robo ya siku zingine.
 
Kukunja ngumi kunasababisha sugu kwenye mikono. Mi huwa naanza na 50 + 40 + 30 + 20 + 10; then naoga ndo najiandaa na majukumu ya siku hiyo. lakini ikiwa nina kazi za shamba huwa sifanyi mazoezi.
 
mi sihitaji kuwa kimbau mbau, sasa nikipiga hayo mazoezi si ntachonga sana maana mwili wangu unapungua kadri navyokuwa mtu mzima.
 
Kama hivyo fanya ule huku unaendelea na mazoezi.


Mkuu kimbau mbau akila vizuri na akaamua kuingia gym kufanya mazoezi ili kutanua mwili..itamchukua muda gani hadi mwili ubadilike..lengo kubwa ni kutanua mwili uwe na muonekano wa kiume unavutua
 
Mkuu kimbau mbau akila vizuri na akaamua kuingia gym kufanya mazoezi ili kutanua mwili..itamchukua muda gani hadi mwili ubadilike..lengo kubwa ni kutanua mwili uwe na muonekano wa kiume unavutua
Itachukua wiki 6
 
Itachukua wiki 6
Mkuu unaweza kutusaidia vyakula/ fomula ya kula kwa mtu anayefanya mazoezi ya kujenga mwili ikiwemo kuwa na sic pack, maana kukata tumbo kunasumbua wakati usiku nao njaa inasumbua, sasa hii inaleta changamoto kidogo.
 
Back
Top Bottom