ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,037
- 6,288
Usisahau kuleta mrejesho,nimeanza kuitumia leo.nakipakua nikione
Usisahau kuleta mrejesho,nimeanza kuitumia leo.nakipakua nikione
poa mkuuuUsisahau kuleta mrejesho,nimeanza kuitumia leo.
Captain Wapi huko kwa mwezi elfu kumi ( hizo local gym)Kila gym ina range yake.
Mfano mtaani kwangu kwa mwezi ni elfu kumi kwa siku session moja ni mia tano.
Kuna sehemu ukilipa elfu tano ndiyo haulipi tena.
Ila hizi ni zile local.
Advanced iliyo na kila kitu ni kuanzia elfu hamsini (Gongo la Mboto mwaka jana, sijui mwaka huu) kwa siku elfu tatu kwa session.
Sinza Mapambano elfu mbili kwa session, Home Gym sinza nafikiri ni elfu mbili pia.
Home Gym Kigamboni, elfu ishirini kwa Mwezi na elfu moja kwa siku (ni local usitishike na jina).
Mbeya, Soweto gym ni elfu thelathini kwa mwezi na elfu mbili kwa session (mwaka jana sijui mwaka huu).
So ni wewe tu na eneo ulilopo mkuu.
Nina hizo dumpbells za kg10 nyumbani natoka kuanza nazo unaweza nipa utaratibu mzuri ili kwa sasa nijenge vizuri bicepsMwananyamala kwa Kopa. Ofisi za ccm
Eh! NitajaribuHauwezi kushindwa. Hata tano?
Kwakua una hizi tu inabidi hizi hizi uzifanyie routine mbalimbali. Nakupa mazoezi lakini ntakosa picha za kukuonyesha ninachomaanisha kwakua nakujibu huku natembea.Nina hizo dumpbells za kg10 nyumbani natoka kuanza nazo unaweza nipa utaratibu mzuri ili kwa sasa nijenge vizuri biceps View attachment 807514
NdioSamahani, wewe si ni mdada?
Niwe na mwili wa ukakamavu..Umetaka kupiga push ups ukiwa umelenga nini?
Haya ni mazoezi extreme, favourable kwa mtu anayetaka mwili uwe mkakamavu na kujikata (tafadhali usinione nina mfumo dume kuandika hivi)
AhsanteKaribu. Basi kama hivyo unaweza kuifuatisha hii routine.
Asante ngoja nitaanzaKwakua una hizi tu inabidi hizi hizi uzifanyie routine mbalimbali. Nakupa mazoezi lakini ntakosa picha za kukuonyesha ninachomaanisha kwakua nakujibu huku natembea.
Ukishamaliza warm up yako (inaweza kua hizi push ups, au pull ups za mlangoni).
-Anza na seated dumb bell curls.
Kaa kwenye kigoda/ stuli. Shikilia dumb bell moja triceps yako ilaze ndani kwenye uvungu wa paja.
Kisha anza kunyanyua dumb bell yako kutoka chini kuja juu.
Hii execution ifanye mara 10. Utafanya mkono mmoja kisha utahamishia mkono mwingine.
Fanya raundi tatu.
-Fanya Preacher Curl
Weka mkono sehemu ambayo ina slope, kiasi kwamba tri yako itakua imejilaza hapo. Kisha utakua unanyanyua na kuileta dumb bell yako kukufuata wewe.
Fanya execution hii mara 10 kisha unahamishia mkono mwingine.
Fanya raundi tatu.
-Fanya stand up curls
Simama shika dumb bell moja mkono wa kushoto na nyingine mkono wa kulia.
Anza na ya mkono wowote mfano wa kulia utapiga kisha unapiga mkono wa kushoto, hiyo ni moja.
Unarudi tena kulia halafu unapiga kushoto hiyo ni mbili.
Ukifika tano, mkono wa kushoto uache katikati huku una mzigo halafu wa kulia endelea kupiga hadi zifike kumi.
Kisha na wenyewe uache katikati.
Halafu malizia kumi za huu mkono ambao muda wote ulikua katikati. Fanya reps kumi kwa raundi tatu.
Kisha maliza na stand up curls za kutumia mikono yote, hapa mzigo utakua unaupandisha na kuushusha mikono yote miwili. Fanya reps kumi kwa raundi tatu.
NB: Kuna mazoezi mengi ya aina hii. Niliyokutajia ni ambayo mimi naamini yanakava pande zote za mkono kwenye zoezi la biceps.
huwa nakozi zinatokezea sanaa kwenye vidole, ukimkwaa dogo konzi lazima ashike adabuHaina madhara, ila zile ni mbwembwe tu ambazo haziongezi chochote.
aiseeh hapa nlipo mwili wote umechoka,,, leo nlienda hiviNilimaanisha ukizitumia kufanyia mazoezi haya haya utakachokipata hakina tofauti na usingekunja ngumi.