jinsi ya kutengeneza mic huawei 520 kishkwambi

Flavinho

New Member
Mar 25, 2017
4
0
Habari za jion wana jf
Naomba mwenye kujua nmna y kutengeneza mic y hii cm maana nkipiga simu kwa whassap or viber or imo nazungumza na mtu vizur n ananisikia ila tatizo linakuja nikipiga simu za kawaida mtu hanisikii n nmeshapelekea mafundi wengi wanabadili mic lakin baada y siku mbili tatizo linajirudia..........
Niasaidien ushauri nifanyaje ili tatizo liiishe kabisa....!?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom