Jinsi ya kutengeneza MATRILLION ndani ya miaka KUMI

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
1. Mtafute jamaa mmoja (Jamaa X) kutoka nchi ambayo mnaweza kuipiga kirahisi

2. Piga nae dili mpromise ten percent yake

3. Lipua mabomu mawili matatu kwenye nchi yako kwenye maeneo yanayoweza kuleta hisia kwa wananchi

4. Msingizie Jamaa X kuwa yeye ndio kalipua hayo mabomu

5. Tengeneza kampuni feki kwenye nchi ya Jamaa X ambayo kaziyake ni kuoutsource vifaa vya kivita pamoja na wanajeshi

6. ongea na wanasiasa waruhusu nchi yako iingie mkataba wa mabilioni na kampuni yako kuoutsource vita ya kumkamata Jamaa X

7. Mwambie Jamaa X aanze kutengeneza video na tape huku akitishia na kusema kua atalipua mabomu mengi zaidi nchini kwenu.

8. Baada ya miaka kumi utakuwa umeshapata matrillioni yako

9. Mpe Jamaa X ten percent yake,

10. Danganya kuwa umemkamata Jamaa X, ila kwa sababu ya dini yake, imebidi umuue na kumzika baharini siku hiyo hiyo.

Ofkoz baada ya wiki chache watu walivyokua wasahaulifu, watapotezea, na we utakuwa Trillionea.
 
Back
Top Bottom