Jinsi ya kutengeneza Logo ya kampuni au shirika

koo

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
258
67
Heshima kwenu wana jamvi. Naomba mwenye taaluma ya jinsi yakutengeneza logo ya kijikampuni changu hapa uwezo wa kununua sina na taaluma ya it sina kabisa naombeni msaada.
 
Heshima kwenu wana jamvi. Naomba mwenye taaluma ya jinsi yakutengeneza logo ya kijikampuni changu hapa uwezo wa kununua sina na taaluma ya it sina kabisa naombeni msaada.

Kwani unavyo jua bei ya kutengenezewa logo ni bei gani? acha ubahiri..lol
 
Kwani unavyo jua bei ya kutengenezewa logo ni bei gani? acha ubahiri..lol
Nimetumia hiyo software nimetengeneza lakini kuitoa kuweka kwenye document zangu imekataa kama unaweza kutoa msaada zaidi nitashukuru hasa kwenye kuihamishia kwenye ms wd
 
koo namie nitumie details ya kampuni, what your motto is, what you deal with.. nitakutengenezea logo usiwasikilize wanaokusema kwa kutokua na hela. bill gates alikuwa anatumia simu za chuo ya washington kufanyia deali, uwezo wa kuwa na private line hakuwa nayo, look where he's @ now. kutokuwa na finances has never hindered anybody with a vision
 
Last edited by a moderator:
kaka unatisha sasa chakushangaza hunataaruma ya IT alafu unataka kutengeneza logo ya kampuni yako duuuuH!!! hii nimeikubali ilakumbuka kuwa hiyo ni kaz ya mtu sio kama kutunga bongo flaver kila mtu anaweza haya kazi kwako
 
If you are really serious mkuu inabidi ulipie logo hata kwa pesa kidogo,huwezi kuwa na kampuni halafu ukashindwa lipia hata elfu shilingi kadhaa za logo professional!Kumbuka wengi wanaodai kutengeneza logo bure wanaweza kuwa aidha sio serious into graphics business ama wanategemea pia utawapa kitu kidogo later.Kama jasho la mtu halali kuliwa,kuuuuuula!

Cheki

LOGOZETU

Ukipenda designs zangu za logo,nicheki kwenye e-mail tutafanya kazi yenye quality.
 
Hello habari, toa specifications ya Kampuni yako ina deal na shughuli gani? kama una corporate colours na vision yako. email jkalundi@gmail.com Am graphic Designer

huyu anataka hela kama mjasiriamali..
unamiliki Kamuni hela ya kutengeneza logo huna? kua serious mkuu

na huyu anamshangaa mleta mada kwa nini hana hela..

koo namie nitumie details ya kampuni, what your motto is, what you deal with.. nitakutengenezea logo usiwasikilize wanaokusema kwa kutokua na hela. bill gates alikuwa anatumia simu za chuo ya washington kufanyia deali, uwezo wa kuwa na private line hakuwa nayo, look where he's @ now. kutokuwa na finances has never hindered anybody with a vision
huyu anataka kumsaidia ili azidi kuwa more competent kwa fani hiyo..

Kampun bongo kutengeneza sh 6500 hadi 13 sasa we washangaa nini kwamba ana 13000 halafu hana logo?
mkuu mkwawa anatoa ufafanuzi juu ya uanzishaji wa kampuni..

If you are really serious mkuu inabidi ulipie logo hata kwa pesa kidogo,huwezi kuwa na kampuni halafu ukashindwa lipia hata elfu shilingi kadhaa za logo professional!Kumbuka wengi wanaodai kutengeneza logo bure wanaweza kuwa aidha sio serious into graphics business ama wanategemea pia utawapa kitu kidogo later.Kama jasho la mtu halali kuliwa,kuuuuuula!

Cheki

LOGOZETU

Ukipenda designs zangu za logo,nicheki kwenye e-mail tutafanya kazi yenye quality.
huyu biashara zaidi..

mpaka hapo sijui nani anataka kutoa msaada juu ya utengenezaji wa logo :shocked::A S 39:
 
haya mkuu ndetichia tumekuskia ngoja tumjibu sasa software nzuri ya logo kwa opinion yangu ni photoshop. Hapa utahitaji knowledge ndogo tu ya kuunganisha layers za picha na vyengine utagoogle.

Mfano ntakupa unataka utengeneze logo ya kilimo nenda google images google picha ya kuku, mahindi na mpunga

Open photoshop yako vipange vizuri halafu eka maneno utapata kitu cha design hii

FRANK-LOGO.jpg

Hio photoshop sio ngumu kama hajaelewa anajua muanzisha thread pa kunipata

Kama hataki customization anataka copy and paste template ambazo zishatengenezwa ye achange text an color adownload software ambazo wakuu wengine wamezitaja kama

Aaa-logo
Smartzlogo
 
huyu leh anataka kumsaidia ili azidi kuwa more competent kwa fani hiyo..

mpaka hapo sijui nani anataka kutoa msaada juu ya utengenezaji wa logo :shocked::A S 39:

sisemi wengine ila on my behalf, mie nipo kwa kusaidia anytime anywhere. I never pass off a chance to help if I can help. its just who I am
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom