Jinsi ya kutengeneza juisi

Jackson nyamhanga sambai

Senior Member
Apr 25, 2018
101
47
Wadau habari za humu,naomba kujua ni nini huwa wanaweka kwenye juice inavyokuwa imetengenezwa hata ikae muda mrefu kama miezi hata mitatu miwili,idea yangu nataka kuanzisha kiwanda cha kupack juice original ya pachichi mixer na papai,sasa nahitaji kuweka kwenye Vifungashio ili niwe nasambaza,na nahitaji ziwe na muda Wa kukaa kama miezi hata mitatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na majibu utakayojibiwa, tembelea Shirika la viwanda vidogo ( SIDO)
 
Ila hapa nchini kufungua kiwanda hata kidogo cha Vinywaji ni shughuli pevu, kuna documents nyingi zinahitajika ili uwe verified uende Tra, Tmda, Brela,Tbs, leseni ya halmashauri, Osha, Nemc, Barcode ili bidhaa ikubalike na supermarkets kote huko ulipie hapo bado kodi ya jengo, malighafi,vifungashio,logo, preservatives nk.

Biashara ya manufacturing bongo ni changamoto hasa kwa startups business maofisa wa taasisi kutwa kukupigia misele uwapooze otherwise mtiti daily.
 
Back
Top Bottom