kama upo dsm utapiga hela sana kwa hizo chopstick/icecream sijui nini. kwasababu wanaume wa daslam ndio pekee utamkuta njiani anamung'unya ice cream, ubuyu au pipi. hongera kwa biashara.Habari zenu wana jf!! Nimatumaini Yangu kuwa muwazima..
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza barafu za vijiti... Natanguliza shukran zangu
machine ulipata wapinkama upo dsm utapiga hela sana kwa hizo chopstick/icecream sijui nini. kwasababu wanaume wa daslam ndio pekee utamkuta njiani anamung'unya ice cream, ubuyu au pipi. hongera kwa biashara.
SI lazima mashine mkuumachine ulipata wapin
hizo hazihitaji mashine ila ni vikopo special ambavyo utatumia kumiminia mchanganyiko wako na kijiti then kuweka kwny friji ili igande.machine ulipata wapin
mashine zipo kariakoo zinatofautiana bei na size.Zipo za mill 1.5,mill 2 na mill 4.hizo hazihitaji mashine ila ni vikopo special ambavyo utatumia kumiminia mchanganyiko wako na kijiti then kuweka kwny friji ili igande.
na kama unataka za packets basi utatumia vifuko vya nylon,hizo wengi huita barafu.
kama unataka ice cream za kutumia mashine pia zipo.Unatumia specl mashine kuchanganyia na kupack ,na unapack kwny cone au vikopo maalum
Samahani naomba maelekezo nahitaji machine ya kutengeneza kamba kamba mwenye
Samahani naomba maelekezo nahitaji machine ya kutengeneza kamba kamba mwenye kujua zinapopatikana naomba namba nitafute unielekeze
Chuka maziwa yaunga au freshMi nifundisheni ile ya ice cream vanilla maana ndio tamu sana
Asante ntalifanyia kazi hilo!Chuka maziwa yaunga au fresh
Weka vanilla kijiko Cha chai 1
Weka Hiliki ya unga
weka sukari
Changanya vizuri
Jaza kwenye vifuko au vikopo
Weka ktk friji au friza zikiganda tayari kauze pesa nje nje Mkuu
UKIANZA KUVUNA PESA LETA MREJESHO MKUU
Ramba lolo! 😂😂😂😂😂Ramba ramba👆👆👆👆
Vanilla weka ya maji mkuu usiweke ya ungaAsante ntalifanyia kazi hilo!
Hahaha sasa ya maji itakuwaje ice cream mkuu?Vanilla weka ya maji mkuu usiweke ya unga