Jinsi ya kutengeneza ice cream za vijiti (chostick, au barafu za viijiti)

LAMU

Member
Jun 12, 2016
51
18
Habari zenu wana jf!! Nimatumaini Yangu kuwa muwazima..
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza barafu za vijiti... Natanguliza shukran zangu
 
Habari zenu wana jf!! Nimatumaini Yangu kuwa muwazima..
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza barafu za vijiti... Natanguliza shukran zangu
kama upo dsm utapiga hela sana kwa hizo chopstick/icecream sijui nini. kwasababu wanaume wa daslam ndio pekee utamkuta njiani anamung'unya ice cream, ubuyu au pipi. hongera kwa biashara.
 
kama upo dsm utapiga hela sana kwa hizo chopstick/icecream sijui nini. kwasababu wanaume wa daslam ndio pekee utamkuta njiani anamung'unya ice cream, ubuyu au pipi. hongera kwa biashara.
machine ulipata wapin
 
machine ulipata wapin
hizo hazihitaji mashine ila ni vikopo special ambavyo utatumia kumiminia mchanganyiko wako na kijiti then kuweka kwny friji ili igande.
na kama unataka za packets basi utatumia vifuko vya nylon,hizo wengi huita barafu.

kama unataka ice cream za kutumia mashine pia zipo.Unatumia specl mashine kuchanganyia na kupack ,na unapack kwny cone au vikopo maalum
 
mashine zipo kariakoo zinatofautiana bei na size.Zipo za mill 1.5,mill 2 na mill 4.
Hata hapa jf kuna mtu alikuwa anazitangaza
 
Samahani naomba maelekezo nahitaji machine ya kutengeneza kamba kamba mwenye kujua zinapopatikana naomba namba nitafute unielekeze
 
Mi nifundisheni ile ya ice cream vanilla maana ndio tamu sana
Chuka maziwa yaunga au fresh
Weka vanilla kijiko Cha chai 1
Weka Hiliki ya unga
weka sukari
Changanya vizuri
Jaza kwenye vifuko au vikopo
Weka ktk friji au friza zikiganda tayari kauze pesa nje nje Mkuu
UKIANZA KUVUNA PESA LETA MREJESHO MKUU
 
Asante ntalifanyia kazi hilo!
 
Jifunze mapishi

https://www.videoder.net/media?mode...alk.com/byo?rid=77694]Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom